Mimi natumia Dell Intel core i3 64 bit nimeinunua mwaka 2010 sijaitumia sana kwa vile nilikuwa na dell nyingine. Sasa hivi kwenye alama ya battery inanionyesha X nyekundi kwamba natakiwa nifikirie kureplace. Sasa inauwezo wa kukaa dakika 30 -45 tu ikiwa inatumia battery pekee. Nilijaribu kuulizia bei ya replacement nilipoambiwa nikaona ngaja niendelee kutmia hivi hivi. Laptop bado ni nzima na inaonekana kama mpya lakini ndo hivy battery kwisha. Sjui kama ni kwa Dell zote za aina hii au la?
Nashukuru mkuu kwa wazo lako wakati na nunua sikujua hilo na lengo lilikuwa kununua brand new kumbe nikaingia chaka, anywa sijui itakuwa ikiwa inasoma charge zero na laptop bado bomba, ushauri kama upo
Ni afadhar ukanunua hizi laptops ambazo refurbished kuliko kununua brand new za kichina!!. Mara nyingi hizi refurbished ni U.K ama Europe standard. na hizi brand new za kichina nyingi zimechakachuliwa. Waweza nunua brand new mara baada ya muda mfupi yaanza kukusumbua.
maana yake ni kuwa betri imekufa...ni ya kubadilisha!! i had the same problem once..Natumia dell D610 hivi sasa betri haliingizi chaji kabisa, chaji inayoingia ndiyo inayotumika. Nimeangalia katika taarifa za ndani inasema betri not installed, sasa inakuwaje wakati betri lipo? Na wakati mwingine natumia katika umeme na taa nyekundu inawaka ile ya kuonyesha betri haina chaji, sasa nifanyaje hapa jamani?
Mimi nina ToSHIBA satellite L660 for 2yrs na betri bado iko poa na haijawahi kusumbua hardware... ni utunzaji wako tuu.
:israel:
Ulinunua bei gani??
:yield:600000/= Tshs
ww huyu ndo noumer.., apple mac book pro