Matatizo mengine tunajitakia? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matatizo mengine tunajitakia?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by p53, Mar 3, 2009.

 1. p

  p53 JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2009
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 613
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  "Under nutrition is an underlying cause of 53% of deaths among children under five years of age in subsaharan african countries"(WHO report).
  sasa wakuu hii ni achilia mbali zile deaths due to infectious diseases like malaria and the likes ambazo could be prevented and cured.
  hoja yangu ni je hizi deaths siyo za kujitakia?tuachane na mambo ya ubovu wa viongozi wetu nk lakini kwa mfano tungeishi kama wenzetu ambao wanazaa kulingana na uwezo walionao tusingeepukana na hivi vifo vinavyosababishwa na ukosefu wa chakula cha kutosha ama chakula bora? i mean kwa mfano wenzetu kama uwezo wao ni wa kumuhudumia mtoto mmoja basi watazaa huyohuyo mmoja,kama wawili basi wawili et al sasa sisi iweje mtu uwezo wako ni wa mtoto mmoja unazaa 10 ambao mwisho wa siku unashindwa kuwahudumia ipasavyo na kusababisha maafa haya?
  mobs sijui inafaa hapa manake nimeona kama na siasa inaingia ingia na yenyewe..
   
 2. M

  Mtu wa Kawaida JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2009
  Joined: May 2, 2008
  Messages: 217
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Nadhani tatizo ni elimu hapo. Kwani watu wengi ambao wanakuwa na watoto wengi zaidi ya uwezo wao ni kutokana na upungufu wa elimu. Kama kila mtu akielimishwa umuhimu wa kuwa na familia ambayo anaweza kuimudu kuitunza basi tutaweza kuepuka hivi vifo.
   
Loading...