si busara kudowngrade windows kama ni mtu alikushauri au ulifanya mwenyewe ni jambo baya. unapodowngrade windows inamaana hutapata drivers sababu watengeneza laptop hawana time kutengeneza drivers za windows za zamani.
cha muhimu hapo nenda device manager halafu andika jina la hio adapter ya wifi hapa. kwenda device manager just bonyeza start kwenye sehemu ya kusearch andika device manager then ikifunguka utaona hardware zotre za pc yako wamezilist utaona kitu kimeandikwa atheros au broadcom wireless au kitu chochote kinachofanania na device ya wireless then tutaangalia kama zipo driver zake kwa windows 7