Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 5,033
- 15,580
Fanya hivi...inawezekana laini unayotumia cyo ulosajilia nmb mobile
Weka laini ulosajilia....isajili kwenye mifumo yote...data...message na calls....au unaweza kuchagua viwili kati ya hvyo
Ukifanya hvyo itakuwa poa...mimi ilishankuta nkafanya hvyo...mambo n poa mda huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimewapigia majibu na njia walizonipa hazijatatua tatizo, kama kuna hitilafu sehemu ni bora waseme ili tuache kujaribu kuitumia app kwa muda.Wapigie NMB huduma kwa wateja au nenda kwenye tawi la NMB lililo karibu nawe kwa msaada zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umetoka mzeeMe inafanya kazi. Nimetoka kucheki mahahara sasa hivi haujatoka.
Ime ni frustrate sana leo, niko mbali na mjini alafu nashindwa kucheki kama mpunga umeingia au la. π¬Me inafanya kazi. Nimetoka kucheki mahahara sasa hivi haujatoka.
Ni line hiyohiyo, labda ngoja ni cheki kwenye kui set iwe default kwenye sms na callsFanya hivi...inawezekana laini unayotumia cyo ulosajilia nmb mobile
Weka laini ulosajilia....isajili kwenye mifumo yote...data...message na calls....au unaweza kuchagua viwili kati ya hvyo
Ukifanya hvyo itakuwa poa...mimi ilishankuta nkafanya hvyo...mambo n poa mda huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kua serious mzee baba.Umetoka mzee
Thanks mkuu, imekubali baada ya kuiset ile line niliyosajilia kuwa default kwenye sms na calls pamoja na data, nashangaa kwanini nilipopiga simu nmb hawakuniambia haya.Fanya hivi...inawezekana laini unayotumia cyo ulosajilia nmb mobile
Weka laini ulosajilia....isajili kwenye mifumo yote...data...message na calls....au unaweza kuchagua viwili kati ya hvyo
Ukifanya hvyo itakuwa poa...mimi ilishankuta nkafanya hvyo...mambo n poa mda huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Umetoka mzee
Hayuko serious huyoKua serious mzee baba.
ππ Mzee baba inaonekana mwezi huu umefulia hatar.Kua serious mzee baba.
πππππ Mzee baba inaonekana mwezi huu umefulia hatar.
Mkuu niwie radhi,usipo ingia tuchekiane tuwezeshane,maana inaonekana upo serious mnoo.Mkuu uhakika?tusije tukavunjiana heshima hapa jf!miongoni mwa watu nnaowaheshimu humu barazan na wewe umo!sasa Kama umeanza uongo Hi I
Sent using Jamii Forums mobile app
Mark this as an answer mtoa mada ili iwe msaada kwa wengineFanya hivi...inawezekana laini unayotumia cyo ulosajilia nmb mobile
Weka laini ulosajilia....isajili kwenye mifumo yote...data...message na calls....au unaweza kuchagua viwili kati ya hvyo
Ukifanya hvyo itakuwa poa...mimi ilishankuta nkafanya hvyo...mambo n poa mda huu
Sent using Jamii Forums mobile app
NMB Tanzania
Kunani NMB? Hii app imegoma kufanya kazi inaniambia 'use original simcard', simu yangu ina line moja na ndio hiyohiyo niliyosajilia NMB mkononi (NMB mobile), tatizo nini?
Sio kila mtu anaishi dar bwashee, mahali niliko na hilo tawi liliko ni safari ya kuomba udhuru ofisini siku mbili.Badala uende kwenye tawi lako,Sasa umekimbilia JF kwani humu ndiyo NMB
ππ Mzee baba inaonekana mwezi huu umefulia hatar.