Matatizo anayopata Hillary Clinton | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matatizo anayopata Hillary Clinton

Discussion in 'International Forum' started by Andrew Nyerere, Aug 11, 2009.

 1. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #1
  Aug 11, 2009
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  Jana katika Press Conference Kinshasa,Mrs. Clinton,Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ameulizwa kuhusu sera za Bill Clinton.Inaelekea analaumiwa kuhusu sera zake kuhusiana na utawala wa Laurent Kabila.
  Ninavyofahamu mimi,Laurent Kabila aliuawa katika vurugu zilizotokea katika Palace,sijui Bill Clinton anaweza kulaumiwa vipi kwa mambo hayo.
  Mrs. Clitont amekuja Africa kwa niaba ya Rais Obama,na naona zipo distraction nyingi katika hii safari yake. Alipokuwa Kenya wapo watu walikuwa wanauliza juu ya kuwakamata watu wanaotuhumiwa kufanya fujo wakati wa Uchaguzi Mkuu.
  Mrs Clinton amekuja kuisaidia Afrika kufanya biashara na Marekani haitiliwi mkazo. Hakuna udadisi unafanyika kuona kama ni kweli ana mawazo yoyote mapya kuhusu kukuza biashara kati ya Africa na Marekani.
  Amani ya Afrika ni kazi ya Waafrika,jambo muhimu la kuzingatia kuhusu safari ya Mrs Clinton ni hayo mambo anayozungumiza ambayo anadai yatatutajirisha wote.
  Itakuwa siyo vizuri kama Mrs. Clinton atarudi Marekani na kusema kwamba siyo rahisi kuwasaidia Waaafrika,kwa sababu Waaafrika ni wabishi sana.
  Siyo good policy kwa Africa kuzozana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani au wa Urusi au wa China.
  Kuhusu Bill Clinton,sijui Ndugu zetu wa DR Congo wana matatizo gani na sera za Bill Clinton. Katika Siasa za Kimataifa,mimi kwa mara ya kwanza kuielewa rationale ya kufanya Peace Talks katika conflict yoyote Duniani nimeielewa kwa kusikiliza maneno ya Bill Clinton. Wakati wote mawazo yangu yalikuwa,''Kama watu wanapigana,kwa nini tusisubiri tuone nani atashinda?''
  Kuhusu Marekani,ile ni Nchi ambayo ni Muungano wa Nchi nyingi. Kwa vile Afrika tunasema kwamba tunataka kuanzisha Umoja wa Afrika,kuunda Serikali Moja ya Africa,labda tunaweza kujifunza kutoka kwa Marekani.
  Kuhusu Bill Clinton na sera zake,sijui Wakongo wana matatizo gani na sera hizo. Ningependa kuzitaja sera chache za wakati Bill Clinton alipokuwwa Rais,sera ambazo tunaweza kupata faida tukiamka kila asubuhi,kuchukua tasbihi za kuzidurusu,
  103rd Congress
  1.Family and Medicare Act.
  2.National Voter Registration Act.
  3.Omnibus Budget Reconciliation Act.
  4.Brady Handgun Violence Prevention Act.
  5.North America Free Trade Agreement Act NAFTA.
  6.Freedon of Access to Clinical Entrances Act.
  7.Violent Crime Control Act[including violence against women]
  8.Community Development Banking and Financial Institutions Act.

  104th Congress.
  1.National Highway Designation Act.
  2.Lobbying Disclosure Act.
  3.Private Securities Litigation Reform Act.
  4.Communications Act[including communications decency]
  5.Cuban Liberty and Democratic Solidarity[Libertad] Act
  6.National Gambling Impact Study Commission Act.
  7.Food Quality Protection Act.
  8.Small Business Job Protection Act.
  9.Health Insurance Portability and Accountability Act.
  10.Personnal Responsibilty and Work Opportunity Act.
  11.Defence Of Marriage Act.
  12.Domestic Violence Offender Gunban..

  105th Congress.
  1.Balanced Budget Act.
  2.Taxpayer Relief Act.
  3.Transportation Equity Act.
  4.Taxpayer Bill of Rights 3
  5.Workforce Investment Act.
  6.Child Online Privacy Protection Act.
  7.Sonny Bono Copyright Extension Act.
  8. Digital Millineum Copyright Act.
  9. Iraq Liberation Act.
   
Loading...