Mwembebasha
JF-Expert Member
- Dec 27, 2013
- 1,424
- 406
Ila kwa nini wasimdunde?
Heri ya Mwaka Mpya we mdada. Ndo nini kunikimbia sasa?
Ni upuuzi na udaku na mambo ya kike kike ninadhani mnafuatilia hata nyumba za watu nani anagombana na mkewe na watoto ili mumwanike ktk Jf nijuavyo mimi Matata alipishana kimapatano na wale vijana nao walikua kama 9 hivi sasa vijana 50 hayo mawe yalikua ktk Mv Mapinduzi? Na hakuna bastola iliyotolewa kuna watu wanapenda kukuza mambo bila sababu ya msingi mradi waonekane wameleta thread ktk Jf
Na hizo ni lazma awe na shabaha kama yule dogo tamthiliya ya Iris.