Freema Agyeman
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 3,666
- 3,533
Naamini kbs hizo Unrealistic expectations nyingi zinakuwa pasipo na upendo wa kweli,Umri mdogo akili inakuwa haijakomaa,tamaa,kuiga,malezi aliyopitia mtu,kampan na watu wanaomzunguka,na mazingira hasa huku mijini.
Hii inatokea mtu anangia kwenye mahusiano si kwa kupenda bali kufuata vitu flan au ili labda afanae na flan,au na familia yake,au aonekane kuwa ktk hali flan
Ishu inakuja pale vile alivovitarajia vinakosekana au hela inakata ndipo uhalisia unaanza kuonekana na watu kukimbiana,
Ila kwa mtu aliyepitia malezi yale ya ukweli ya kutoka kwenye shida na kuikuta raha baadae na akawa amepitia expiriens za maisha flan huyo mtu akaingia kwenye mahusiano anakua amepevuka vya kutosha,akiwa na uelewa wa maisha ni nn na yakoje,anajua anachokihitaji maishan,na anakua anafaham mafanikio ya maisha na mahusiano yanahitaji upendo,uvumilivu na ushirikiano kati ya wenza lzm ataingia humo akiwa na Realistic expectations na huwa mwisho wa siku wanafanikiwa kimaisha na kimahusiano.
...
1. kama mwenza wako ana ajira ,au mfanyabiashara mtaji umekatika ghafla ghafla pesa ikakosekana nyumbani wakati mwenzio yuko busy kutafuta namna ya kuishi wewe unawaza why why dina hiki ilikuwa hivi leo iko hivi pasipo kutoa msaada wa kumtia moyo kimawazo hata kimatendo..hapa kuna hatari ya kuanza kutafuta back up- Ndoa inakuwa mashakani
...
...
2. Baada ya hiyo namba moja kutokea Gari imepaki mafuta yamekosana na wewe kupanda daladala ushaona haiwezekani utatafuta wenye magari na taratibu unaanza kumdharau mwenza wako matokeo yake ni kupunguza upendo kwa mwenzio na kumdharau huku ukimuona hafai hata akikwambia lolote unaona kakosea kwake kunakuwa hakuna jema tena - ndoa iko mashakani
...
5. Yeye ndio mtoaji wa familia kama ukiamini hivo iko siku yeye anakosa kile ulichotegemea siku zote inabidi wewe uokoe jahazi kama utashindwa kufanya hivo wakati mwenzio anajua uwezo wa kumsaidia unao ,ni kweli haileti maana hasa katika ile ya ahadi tutakuwa pamoja katika shida na raha atasononeka na kujiuliza mambo mengi sana kichwani na kujikuta anaanza kukata tamaa
Tutakapoelewa ndoa nikupendana , kusaidiana ,kusameheana kuhurumiana ,kuheshimiana,kutiana moyo pale unapoona mwenza wako kakata tamaa,hata mwenyezi mungu ataingia kati na kusaidia pale panapoonekana kuwa pagumu kwenu
God bless
Hongera FA.
Ila kama hutojali naomba kuuliza kwanini hutaki kuulizwa kama unampenda?
What if mwajiriwa huyu au mfanyabiashara huyu akawa na vidosho kibao, akagoma kukusaidia shida zako na watoto ingawa pesa anayo? Akifilisika umvumilie na kumsaidia kwa vile tu hutaki kuweka ndoa mashakani? nani aliyeleta hayo mashaka?
Dharau haiji bali inaletwa, kila kitu kina root cause, kama ilivyo kwa upendo ndivyo hivyo ilivyo kwa chuki. Natimiza wajibu wangu sitaki kuwa na matarajio nisiyoweza kuyafanyia kazi au kuyapigania kuyahuisha.
Namba 3 na 4 hayana mjadala. Bila shaka huongelei mwanamke kujishusha bali hata mwanaume pia. Kumbuka mwanaume akikengeuka kikamilifu hata ujishushe na kujiangusha, harudi nyuma.
Hapa tutatofautiana. Naangalia maandiko yameandika nini kuhusu majukumu ya mwanamke na mwanaume kwenye mahusiano na hasa ndoa. Jamani hakuna usawa kati ya mwanamke na mwanaume. Mwanaume ataprovide na itabaki kuwa hivyo daima. Ukijijai kumprovide mwanaume na pesa zako za ukurugenzi ujue fika atatafuta wa kumprovide. It is where the reality comes.
God bless us and made us understand and differentiate the realistic and unrealistic expectations kwenye mahusiano.
I will be back....
Naweza mdanganya, kwa vile najua hawezi niridhisha 100%, basi kuna anavyonikwaza na ninastahamili (except for cheating if I happen to know or he happen to let me know) kwa vile najua fika hata mimi siwezi mridhisha 100%, kuna ninapomkwaza na ananivumilia. Naweza kuwa nimekwazika kiasi cha mapenzi kuchuja. Ila kwa sababu lengo la kuwa na uhusiano nae sio kuachana, basi akiniuliza kama nampenda naweza kumjibu kuwa simpendi.
Ni kweli kbs F.A na ujuavyo km kweli ile hali ya kujikubali na kumkubali mwenzio inakuwepo hizo material things na mabadiliko ya situations huwa haviwezi kuathiri chochote na ndipo tunakuwa tayari kwa lolote as long as uko na mtu umemkubali na malengo yenu yanana!tukubaliane kutokukubaliana kuwa mapenzi hayana proper definitions na vile vile being 'realistic or unrealistic' can not have a common definition. Kwa nini? human being are different with different perceptions, feelings, IQ, traditions, cuctoms, religions... to mention a few. Naamani hakuna kitu inaitwa mapenzi, ila tutavutiwa na tutatamani kuwa na fulani wa jinsia tofauti kwa malengo tofauti kama vile kampani, familia, baby dad, baby mom, pesa, muonekano etc.
Cha muhimu jua sababu ya kukuingiza kweye uhusiano ukitarajia lolote lile, kama hauko tayari kwa lolote basi hauko tayari kwa mahusiano ya kimapenzi hasa ya muda mrefu.