Matapeli wapya mjini 0743340917

Matapeli wapya mjini 0743340917

Walimwibia mdada moja majuzi sh laki 4. Akalia kilio cha mbwa na hakupata hata aliemfutia machozi.... Mtu hata hujashiriki mashindano yoyote unaambiwa umeshinda na unakubali km zuzu
 
nani kakwambia wanawafataga watu kijinga jinga huwa wanaangalia namtu wakumwambia huo upuuzi
 
Wanakupigia simu kwa namba 0743340917 na nyingi nyinginezo wanakwambi umeshinda kitita cha million MOJA, wakaendelea, ili niipate hiyo pesa (1mil) basi nitume sh laki MOJA kwa namba ,0743340917
Sa wataniambiaje nineshinda ilhali sikuwa kwenye shindano....., KUDADADEKI ZAO
 
Yaani from no where,umeshinda Milioni?,bila ya kushiriki bahati nasibu yoyote?....
 
Wajinga hawa kuna wengine wanajiita Tigo Bima. Wanakupigia kukwambia kwamba namba yako imechaguliwa kujiunga kwny huduma ya tigo bima kwa punguzo maalumu hivyo tuma shilingi 9999 au 2200 kwa ajili ya bima.

Nikawaambia nitaenda kwenye ofisi zao kukamilisha huduma hii wakawa wapole na kukata simu....wizi mtupu ni mdada anaongea vizuri anakutaja jina lako sawa sawa kabisa.
 
nonsense kabisa. sasa kama nimeshinda 1mil. natuma tena laki ya nini si wakate humo humo hiyo laki
 
Wanakupigia simu kwa namba 0743340917 na nyingi nyinginezo wanakwambi umeshinda kitita cha million MOJA, wakaendelea, ili niipate hiyo pesa (1mil) basi nitume sh laki MOJA kwa namba ,0743340917
M_PESA ALERT

There are some hackers at work withdrawing money from M_PESA_ACCOUNT Without the account owner's permission or approval.
They will send you a message of this nature

"Hello Dear Customer VODACOM Congrat's you For Wining Tshs1,000,000 and Toshiba Laptop On M_Pesa Promo And Your Code (503) AND (3030). Please Call 0752919578"

If you receive this message please don't respond to it.

Note
When you call them or they call you, they will ask you to dial *117#, after which they will ask you to check your M_PESA account balance.

What happen is after you check your M_PESA account balance with your pin code they will capture it and hence forth monitoring your account balance in other to make withdrawals without your knowledge.

Don't allow yourself to be deceived. Save somebody's money and life by sharing this message with your contacts.

Source ;
David M.R,
VODACOM OFFICE
DAR ES SALAAM_TANZANIA
 
Wanakupigia simu kwa namba 0743340917 na nyingi nyinginezo wanakwambi umeshinda kitita cha million MOJA, wakaendelea, ili niipate hiyo pesa (1mil) basi nitume sh laki MOJA kwa namba ,0743340917
Namba yao nyingine hii 0767899440.
 
Back
Top Bottom