Habari wakuu, leo matapeli wameanzia kwangu asubuhi hii.ni wale wale wanaotaka tufanye biashara ya dawa za visima wao wako katavi wanataka nikutane na mtu wao yuko wizara ya kilimo.....
Mtu wako wa karibu kawaambia kwako wanaweza pata milioni mbili au tatu, wamekujuaje,anaweza kuwa ndugu,rafiki au jamaa yako akujuaye kwa kina.
Hahaha kama nawaona vile hayo matapeli yanasoma huu uzii!! Kaa chonjo mwaya mjin shule ila ucje na madaftar na pen
Sure mkuu, jamaa kaanza kwa kujieleza tulikutana kwenye kikao cha harusi mwezi june mwaka huu.Ni Kweli nlikuwa katibu wa sherehe.it means kuna mtu aliyenifahamu wakati huo akawapa my contact
Habari wakuu, leo matapeli wameanzia kwangu asubuhi hii.ni wale wale wanaotaka tufanye biashara ya dawa za visima wao wako katavi wanataka nikutane na mtu wao yuko wizara ya kilimo.....
Sure mkuu, jamaa kaanza kwa kujieleza tulikutana kwenye kikao cha harusi mwezi june mwaka huu.Ni Kweli nlikuwa katibu wa sherehe.it means kuna mtu aliyenifahamu wakati huo akawapa my contact
bado hadi mchana juu wananitafuta, wanaulizia kama nimeshampigia daktari wao
nambaa zao
mmoja amejitambulisha anaitwa antony mwakalinga nambaa 0789767076 ,john kiwia 0688902359 na hiyo daktari wa kukutana nae anaitwa cosmas komba 0756751471.