Matapeli wako kwenye mchakato wa kuniibia

Matapeli wako kwenye mchakato wa kuniibia

Sikuhizi watu hawapigi kwakutumia nguvu wanatumia akili halafu wakipiga wanasemaga ng'ombe hawaishi mjini.
 
Habari wakuu, leo matapeli wameanzia kwangu asubuhi hii.ni wale wale wanaotaka tufanye biashara ya dawa za visima wao wako katavi wanataka nikutane na mtu wao yuko wizara ya kilimo.....

Mkuu wasilisha namba zao TCRA
 
Habari wakuu, leo matapeli wameanzia kwangu asubuhi hii.ni wale wale wanaotaka tufanye biashara ya dawa za visima wao wako katavi wanataka nikutane na mtu wao yuko wizara ya kilimo.....

hata wewe mtoa uzi naona ni tapeli tu!!

otherwise ungetoa namba za hao waliotaka kukuingiza kariakoo shimoni bila idhini!

jinga sana wewe!
 
duh kwel hii kali
cop kwa polisi cop kwa jf subiri utasaidiwa
 
hata wewe mtoa uzi naona ni tapeli tu!!

otherwise ungetoa namba za hao waliotaka kukuingiza kariakoo shimoni bila idhini!

jinga sana wewe!

Jinga mwenyewe, namba nimezitoa ..tatizo unadandia mada hausomi uzi vizuri, mbona namba na majina nimeweka.
Au we ndio tapeli nini unamind baada ya dili kusanuka.soma hapo juu utaona namba zao.
 
Hiyo ya Voda imesajiliwa kwa jina la Cosmas Komba,hii sio issue,juzi nilienda kunua line ya simu kwa vijana wa voda wenye miamvuli,hawakunidai kitambulisho wala nini,waliniuliza jina,anuani nikalipa elfu mbili nikaondoka na line,yaelekea ule u seriousness uliokuwepo mwanzoni katika kusajili line haupo tena,sasa hivi ni bussiness as usual.
 
Habari wakuu, leo matapeli wameanzia kwangu asubuhi hii.ni wale wale wanaotaka tufanye biashara ya dawa za visima wao wako katavi wanataka nikutane na mtu wao yuko wizara ya kilimo.....

Si ajabu tapeli huyo anajitambulisha kuwa yeye ni Engineer Mwakalinga! Mi wamenipigia mara kibao na namba zao ninazo...
 
Yes amejitambulisha jina hilo hilo la mwakalinga.

Aisee mi naamini namba wanazipata kwenye stationery hizi kama ulishawahi kwenda kutengeneza kadi, au kama mtu alitengeneza kadi na akaweka namba zako. Wanashirikiana sana na watu wa stationery. Huyu Bwana amenisumbua sana, na nimeripoti airtel wa track namba yake lakini walisema lazima tuwe na kibali cha polisi. Huyu anatumia namba ya airtel inayoishia na 2, na tapeli mwenzake kwa jina la Emmanuel inaishia na 0. Kuna wakati hujitambulisha kama Dr. Mwakalinga....
 
Back
Top Bottom