Nimesoma habari kwenye kwenye blog ya Michuzi kuwa wale matapeli wa WFP wamekamatwa jana. Kama kuna mtu ana habari zaidi naomba atuletee kuhusu hao matapeli.
Nimesoma habari kwenye kwenye blog ya Michuzi kuwa wale matapeli wa WFP wamekamatwa jana. Kama kuna mtu ana habari zaidi naomba atuletee kuhusu hao matapeli.
Tafadhali edit bandiko lako. Nafikiri sio sahihi kuwaita ni "Matapeli wa WFP" bali ni matapeli waliokuwa wanajiita wafanyakazi wa WFP. Au una uhakika ni wafanyakazi wa kweli wa WFP?
Otherwise, kama matapeli hao wamekamatwa, nawapa tano vijana wa Kova.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.