A
Yes unakuta askari wanapita wanawaona and akuna actionhalafu nashangaa wakati inajulikana kabsa ni utapeli ila viongozi wanawaacha kabsa aisee
HapanaWacha kila Mutu aibiwe akasimulie kwao.
Huo mchezo upo tangu 90 huko,lakinimpaka leo watu wanaibiwa kama si ujinga ni nini?Hapana
Vyombo vinatakiwa kudhibiti hii kitu
Huwezi ukasema ni ujinga, wanakaa maeneo ambayo kila kukicha wanapita watu wengi na wageni. Serikali ijitahidi kuwalinda raia wake dhidi ya hawa matapeli.Huo mchezo upo tangu 90 huko,lakinimpaka leo watu wanaibiwa kama si ujinga ni nini?
Serikali ina mengi ya kufanya.
Ukute Uongozi wa eneo husika ndio wanachukua posho kwa hao matapeli.
Serikali inahangaika na sisi Ngedere kurudisha umeme SGRHuwezi ukasema ni ujinga, wanakaa maeneo ambayo kila kukicha wanapita watu wengi na wageni. Serikali ijitahidi kuwalinda raia wake dhidi ya hawa matapeli.
Nachokiamini ni kwamba Kuban utapeli wa waziwazi kama huu ni kitu rahisi Kwa serikal licha ya wingi wa majukumuHuwezi ukasema ni ujinga, wanakaa maeneo ambayo kila kukicha wanapita watu wengi na wageni. Serikali ijitahidi kuwalinda raia wake dhidi ya hawa matapeli.
Pole mkuuMatapeli hata huko vijijini wapo.
Nilikwenda mahali kununua mashamba kilichonikuta ni Mungu tu ndio aliniokoa.
πππ. Mkuu ilikuwaje, em lete stori tujenge uzoefu.Matapeli hata huko vijijini wapo.
Nilikwenda mahali kununua mashamba kilichonikuta ni Mungu tu ndio aliniokoa.
Halafu wanavyojiweka utadhani washamba kumbe ni wapigaji tu aisee.πππ. Mkuu ilikuwaje, em lete stori tujenge uzoefu.
Mkuu ,hawa hata huku mikoani unawakuta maeneo ya stendi au sehemu zilizo na watu wengi. Askari na vyombo vingine vya usimamizi wanawaona kabisa na kuwaacha tu. Wakiamua ni sula la siku chache tu wanawaondoa kabisaNachokiamini ni kwamba Kuban utapeli wa waziwazi kama huu ni kitu rahisi Kwa serikal licha ya wingi wa majukumu
Enhee, yakajifanya masukuma na kiswahili kuongea kwa shida? πππ€£π€£Halafu wanavyojiweka utadhani washamba kumbe ni wapigaji tu aisee.
Apo umetufumbua macho mkuuMimi nawajua vizuri sana. Kuna Bosi wao namfahamu ana vituo Vinne. Wanachofanya ni kugawa hela kwa kila kiongozi Wa eneo husika. Ukiwakuta mahali jua Mkuu Wa kituo cha Polisi Wa eneo husika ana posho yake kila wiki, mwenyekiti na Mtendaji Wa Serikali ya Mtaa Wa eneo hilo na km Kata ipo jirani Mtendaji Wa Kata hiyo pia hukatiwa posho kila wiki. Hilo nimeshudia kwa macho yangu. Na Wana uhakika Wa kupata hiyo hela. Wanaajiri watu, wengi wao wanawake, 31 hadi 35 ambao kazi yao ni kuwadanganya Wapita njia, na hasa wanaochungulia hiyo kazi yao. Ndo mana serikali huwaangalia tu. Hata ukiibiwa ukienda Polisi watakurudisha tu mana nao ni washiriki Wa mapato hayo ya wizi.
Wale ni majambazi wenye leseni ya magumashi. Wadhibitiwe mara moja....