MKUDE SIMBA
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 305
- 168
Hallo, am Mr. Rajab from DROLUTION LTD Dar, tupo kikaoni tunapitia CV za kuinterview for I.T OFFICER post, your cv is good me nataka kukusaidia upate hii kazi kwa masharti yafuatayo, mshahara ni 1,200,000/=(take home salary) ukishaanza kazi rasmi utanipa sh. laki 4 kama asante yangu kwa kukusaidia, na kabla ya saa 9 mchana uwe umetuma sh. elfu 40 by tigopesa kwenda namba hiihii ili nimpe mtu wa interview anipe maswali amesema anaitaka leoleo, ntakuforwadia maswali kwenye email, nikitoka kikaoni nitakupigia simu.