Matapeli sfcg

enny mchuz

Member
Joined
Feb 23, 2013
Posts
33
Reaction score
1
jaman wana jamvi kuna watu wanajidai eti wamechagua watu kama asstant managers kwenye project za kahama na mara,wametuma mail zao sasa wanaanza kuomba pesa eti laki 4 ukipata kazi unampa laki 3,jaman aliyepata sms hii ajihadhali wadau
 
Ni kweli ndugu enny mchuz kuna matapeli, kuna ndugu mmoja ametabanaisha hapa https://www.jamiiforums.com/nafasi-...lizotangazwa-za-search-for-common-ground.html

Kama unaona uvivu kufungua link soma hapa chini
tahadhari - tahadhari


shirika la search forcommon ground tanzania (sfcg) linautangazia umma kuwahalijatangaza nafasi za kazi kama inavyoonekana kwenye mitandao mbalimbali yakijamii.shirika la sfcg kamwe halitumii kigezo cha fedha kwa ajili ya kutoafursa ya ajira. hivyo kuwa makini namatapeli wanaotumia jina la shirika kujipatia fedha.hatua kali za kisheria zitachukuliwakwa watu watakao bainika kuhusika na kitendo hiki.
utawala
​


 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…