LwandaMagere
JF-Expert Member
- Mar 15, 2020
- 264
- 2,490
Ndugu habarini za jioni,bila shaka kila mmoja yuko timamu kabisa!.
Siku ya leo kwangu imeenda vyema kabisa kwakuwa nimeamka nikiwa mzima wa afya tele kabisa,sasa nikiwa nimejikalia zangu ndani baada ya mizunguko ya hapa na pale ya kujitafutia chochote kitu,niliamua kupitia akaunti yangu ya Facebook ili niweze kusoma sms za wadau wangu ambazo zilikuwa nyingi,sasa wakati nikiwa nimemaliza kusoma sms za wadau huku nikishangaa shangaa picha za watu katika profile kadhaa wa kadhaa,mara ghafla ikaingia sms in box/dm.
Basi sikuwa na hiyana ikabidi nirudi tena in box ili niweze kuisoma,kwa namna ilivyokuwa imeandikwa siyo rahisi kugundua kama ni ndugu zetu wa Afrika magharibi ambao ni maarufu kwa utapeli duniani kwa sasa (scammers).Kibaya zaidi hiyo akaunti inatumia jina la mwanamke/mrembo fulani mwenye jina na utambulisho kutoka nchi ya Uganda,kama si mtaalamu sana wa haya mambo,unaweza jikuta unanasa katika mtego wa panya,sema namshukuru Mungu nayafahamu haya mambo ya hao jamaa hivyo haikuchukua hata sekunde kutambua kwamba ni scammers/matapeli/wahuni/majizi ya mtandaoni.
Majadiliano yalikuwa kama ifuatavyo :-
TAPELI : Hello am a Ugandan working in Germany. How are you doing and I would like to help me but are you staying in Uganda please or can you make a call to Uganda please?
MIMI : Hello
TAPELI : Am from kalangala kibanga and am working in hotel as a hotel recipient in Germany.
MIMI : Ok,I'm from Tanzania
TAPELI : Actually i have some little help i need from you right now but don't know whether u r going to give me your attention, it's very urgent please can you help me?
MIMI : Can we chat on WhatsApp?
TAPELI : My WhatsApp account got problems,so please help me!

MIMI : Yes,what can i help you?
TAPELI : I kindly request you to help me call my little brother in the village now and ask him to tell you each and every requirement they don't have at home after u text me back, he is Kalema Dagarous from kalangala kibanga please tell him that I have already sent money 12,000,000 to his Barclays bank account, its nine months without hearing from them coz of the poor network connection there, please tell him to go with his ATM card to the bank and withdraw that money, after withdrawing tell him to give you 300,000 coz you have helped me alot, call him on +256754159442 thanks dear.
MIMI : Can you call me on video call?
TAPELI : We don't use phones at work am using a desktop computer illegally coz it's for my boss he's not around
MIMI : Nigerians scammers as usual [emoji1787][emoji1787][emoji1787],How long will you stop this nonsense from embarrassing your fellow Africans?[emoji867][emoji867]
TAPELI : No text
MIMI : Nikasubiri labda atajibu chochote.
TAPELI : No text
Jamaa akaamua kuingia mitini baada ya kumchana makavu na bila shaka atakuwa ameni-block!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa jamaa wakikuotea wanaweza kukufanya kitu mbaya sana,tuweni tu makini maana siku hizi wamebadilika wanakuja na mbinu mbadala za kuwatapeli watu.
Nimeambatanisha na picha ya akaunti ya Facebook ambayo anatumia huyo tapeli.