Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,307
- 40,941
- Thread starter
- #21
😀😀Jamaa watakuwa walikata na wao ticket kumsindikiza mpaka akapanda gari.
Unaambiwa tu subiri hapo, anapenda pale dirishani anakata yako na yake mnaingia wote mle kituoni, gari inakuja anakupandisha yeye anabaki zake. Hapo ndo ushaliwa.
Dakika 5 unaambiwa mwisho wa gari, inauma aisee.