Matapeli bwana, nimetumiwa hii SMS

'Nitakupa laki nane lakini mkataba sitaki,nyambafu' by Mkoloni.
 
Niko Singapore nimeibiwa kila kitu including credit card, passport na pesa. Ninaomba unitumie $ 2,000 kwa DHL kwenye anuani ifuatayo ya meneja wa hotel ili niweze kulipa bills za hotel na pia kuwasiliana na ubalozi wetu. Nikirudi nyumbani nitakurudishia pesa yako!
 
haya yapo mi nilishaomba kazi world vision wajanja wakaipata wakanitumia kama hiyo nilichomwambia maswali asinipe ahakikishe naingia kwenye intavyuu na maswali nitajibu tu then nikipata kazin nitampa mshahara wote wa kwanza (ilikuwa 1,800,000/=) hakujibu tena
 
Wizi mtupu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…