Matapeli 5 waliowahi kutokea Tanzania

Kwa sisi Vijana wa miaka ya nyuma kuna jamaa alikuwa anaitwa BATENGA. Hii ilikuwa namba nyingine.....Marehemu Baba wa Taifa alikuwa anamtambua.
Namkumbuka sana huyu "shomile mpaka mbwa yasheka" na kwa kuuonesha usomi wake, alikuwa akijiita "BATENGAS".
 
Kuna mmoja wa humu jukwaani umemsahau kwenye hiyo list yako.
Huyo ni tapeli Le Mutuz na sanaa yake ya kuwapeleka vijana majuu wakati yeye mwenyewe maisha yamemshinda huko kakimbilia Bongo kuja kuishi kwa upambe.

Ngoja niutafute ule uzi wake wa kitapeli nifukuwe makaburi.
 
Daudi Ballali ni kiboko yao.

Pia kuna mtu alivyoona Serikali yake imebanwa Bungeni na kuna dalili ya Serikali kuanguka kwa mara ya pili akaamua kwenda kutibiwa Busha.
 
mimi nadhani orodha iwe hivi;-
1.Bashite
2.Makinikia
3.Nape
4.Awamu ya tatu
5.Awamu ya nne
6.Msukuma
7.Joka makengeza
 
Back
Top Bottom