Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,809
- 140,797
Ila nakukumbusha tuu kwamba kama wewe ni kajamba nani utaishia hivyo hivyo.Enzi za utawala wake,
Rais aliyepinduliwa wa Gabon, Ali Omar Bongo aliwahi kuagiza Theluji bandia kutoka Ulaya na kuwekwa kwenye Ikulu ya Rais, ili familia yake isherekee Krismasi kwenye Theluji kama wapo Ulaya.
Kibaya zaidi ni kwamba [emoji116]Asilimia 33.4% ya wakazi wa Gabon, wanaishi katika umaskini wa kutupwa licha ya taifa hilo kuwa na utajiri wa mafuta pamoja na idadi ndogo ya raia wasiozidi milioni 2.4 pekee.
Afrika yetu sijui ilirogwa na nani aisee [emoji1544]
View attachment 2733831
Mfano mzuri ni Mseveni na yeye si aliingia kwa kupindua.Kagame je?Mobutu je?Kwani hao waliopindua unadhani hawataiba? Ni nchi gani ambayo yalifanyika mapinduzi ya kijeshi na huyo raisi asiibe hata thumni. Sio kwa afrika hii.
Hao si wanae.Wanae ni mashombe shombe.Jamaa ana damu kali sana, yaani huyo mama kaambulia patupu kwa hao watoto
Oow, kumbeHao si wanae.Wanae ni mashombe shombe.
Kichwa kikubwa,akili ndogoEnzi za utawala wake,
Rais aliyepinduliwa wa Gabon, Ali Omar Bongo aliwahi kuagiza Theluji bandia kutoka Ulaya na kuwekwa kwenye Ikulu ya Rais, ili familia yake isherekee Krismasi kwenye Theluji kama wapo Ulaya.
Kibaya zaidi ni kwamba [emoji116]Asilimia 33.4% ya wakazi wa Gabon, wanaishi katika umaskini wa kutupwa licha ya taifa hilo kuwa na utajiri wa mafuta pamoja na idadi ndogo ya raia wasiozidi milioni 2.4 pekee.
Afrika yetu sijui ilirogwa na nani aisee [emoji1544]
View attachment 2733831
Swali fikirishiKama yule alikua dictator na kama wazungu walivosema na Kupeleka jeshi kwann huko niger,Gabon na kwengine mapinduzi yamefanyika hawayataki?
Ila Sisi waafrika