Kamati ya roho mbaya hii...πHuyo anatakiwa awe anashindia uji tu hapo nyumbani,ili ajue maisha ya watu wake yalikuaje,ni uji na maji ya kunywa tu
Soma tena historia mdogo wangu.Kwani hao waliopindua unadhani hawataiba? Ni nchi gani ambayo yalifanyika mapinduzi ya kijeshi na huyo raisi asiibe hata thumni. Sio kwa afrika hii.
Kweli mkuu, tunahitaji mapinduzi ya fikra zaidi.Kwani hao waliopindua unadhani hawataiba? Ni nchi gani ambayo yalifanyika mapinduzi ya kijeshi na huyo raisi asiibe hata thumni. Sio kwa afrika hii.
Mkuu vp story yetu ioe iliendelea ama manake umepoteaKwani hao waliopindua unadhani hawataiba? Ni nchi gani ambayo yalifanyika mapinduzi ya kijeshi na huyo raisi asiibe hata thumni. Sio kwa afrika hii.
Wataiba na pengine watang'ang'ania. Lakini ni afadhali mara kumi kujaribu njia nyingine. Hivi unajua huyu ni cha mtoto tu lakini baba mtu Omari Bongo alikuwa mbaya zaidi?Kwani hao waliopindua unadhani hawataiba? Ni nchi gani ambayo yalifanyika mapinduzi ya kijeshi na huyo raisi asiibe hata thumni. Sio kwa afrika hii.
Ghana vipi!?Kwani hao waliopindua unadhani hawataiba? Ni nchi gani ambayo yalifanyika mapinduzi ya kijeshi na huyo raisi asiibe hata thumni. Sio kwa afrika hii.
Sasa una mpunga wa kutosha unahangaika na wamatumbi wa kazi gani? π Kula toto jeupe kama hivyo.Jamaa aliona bora aoe mzungu kabisa.View attachment 2733845
Libya msukumo wa mapinduzi haukuwa from within. Walishawishiwa na vibaraka ndio walitekeleza hilo.Tupe mfano.
Libya walimpindua Gadaffi sahivi maisha magumu.
We umevuta 6bn kiwizi ila kuna wenzio kama 100 wamekufa kwa kukosa laki 5 tu ya kugharamia huduma flani hospitalini.Watz hatuna haja ya kumpindua Rais. Tulisha ruhusiwa kuiba kwa urefu wa kamba zetu.
Jana tu nimevuta 6bn zilizokuwa zinaeleaelea.
Watu wa MusogaAfrika yetu sijui ilirogwa na nani aisee
CCM unafikiri hata wanajali basi, wao ni KUKWEPUA, UFISADI na kufanya ANASA tuWe umevuta 6bn kiwizi ila kuna wenzio kama 100 wamekufa kwa kukosa laki 5 tu ya kugharamia huduma flani hospitalini.
Hili ni somo kubwa sana kwa maana laiti mifumo ingekuwa inajali raia hio 6bn ingekuwa channeled kuokoa maisha ya raia hao 100 waliopoteza maisha yao kwa sababu mbali mbali za kukosa huduma za msingi za afya.
We una access ya kuiba 6bn ikiwa una mshahara mzuri na uhakika wa huduma zote za kijamii ila je, ushajiuliza ni watanzania wangapi wanakosa access ya kupata angalau elf 10 tu ya kula kwa siku?
Lazima kwanza kuwe na internal conflict the external force inamaliziaLibya msukumo wa mapinduzi haukuwa from within. Walishawishiwa na vibaraka ndio walitekeleza hilo.
Libya msukumo wa mapinduzi haukuwa from within. Walishawishiwa na vibaraka ndio walitekeleza hilo.
Kuna yule wa Niger analishwa mchele mbichi. Mungu amfanyie wepesi kwa kweli, si kwa mateso hayo.Awekewe sukari na blueband au plain?
Mbona theluji ipo kwa photo!Mengine ni uongo.....tusiyaamini yote
Anaweza akawa yeye ndo kaifuata theluji huko ulayani.Mbona theluji ipo kwa photo!