Matangazo

Matangazo

Danhappy

Member
Joined
Oct 9, 2017
Posts
71
Reaction score
205
Wakuu nani amewahi kutangaza fb kwa njia ya ku sponsor na akafanikiwa? Unalipia tangazo kwa njia ya bank....mje msaidie tulio wagen kama inasaidia
 
Ndio Mkuu ina manufaa,
1.unatarget audience (age/sex)
2.Matangazo yako mengine yataonekana Instagram (kama umeinganisha accounts zako)
3.High conversion rate inaongezeka kulingana na pesa unayoweka

Malipo ni kupitia visa/MasterCard
 
Back
Top Bottom