Hivi haya matangazo ya zantel ni mimi mwenyewe huwa yananitatiza ku-ipata message yao mapema au hata ninyi wenzangu? maana jinsi tangazo zinavoanza hadi kuishia ...mwanzoni unakuwa hujui kama ni la Zantel.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.