Matangazo ya zain

Matangazo ya zain

digger2002tz

Member
Joined
Mar 12, 2011
Posts
14
Reaction score
0
tangazo jipya la zain kuwaita wateja wa kigari kidogowahamie kwenye gari kubwa lao yani wateja watoke tigo waende zain,sasa wajipange vizuri kwa kuwa wameshachelewa...
 
You mean Airtel!!

Am on my way cz Tigo inazingua sana.
 
mbona Vodacom wameamua kubadili rangi yao kutoka blue kwenda nyekundu kuwaigiliza airtel ina maana wameona hatari iliyopo mbele yake
Hilo tangazo limenichekesha sana sana kwa kweli
 
Kaka voda hawajaiga airtel the fact is vodacom South Africa ambao ndo walikuwa wanamiliki hisa nyingi imenunuliwa na vodaphone Uk na ndo maana wamebadili rangi kuwa nyekundu kama ya vodaphone Uk na walitaka kubadili mpaka jina waitwe vodaphone Tz But wamebaki na Vodacom Tz
 
Back
Top Bottom