Matangazo ya Ulevi hukohuko Tanganyika Zanzibar mwe !

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Taifa Stars banners banned in Zanzibar

2009-02-08 10:46:35
By Mwinyi Sadallah, Zanzibar

The Zanzibar Football Association (ZFA) yesterday stopped their Mainland counterparts Tanzania Football Federation (TFF) from displaying banners of Taifa Stars` sponsors in Zanzibar.

Stars are camping in Zanzibar to prepare for the inaugural Africa Cup of Nations Cup (Chan) finals to be held in Ivory Coast from January 22 to March 8.

TFF information officer Florian Kaijage said yesterday at the Mao-dze-Dong Stadium that the stopping order was given by ZFA president Ali Fereji Tamim.

Kaijage said that Tamim ordered them not to display the banners of Serengeti beer and National Microfinance Bank (NMB) in the stadium.

Serengeti and NMB are the main sponsors of the Taifa Stars.

``We have decided to obey the order because we do not want quarrels. We will train without displaying those banners,`` Kaijage said.

ZFA publicity secretary Maulid Hamad Maulid confirmed that they banned the display of the banners because one of them was promoting alcohol which was prohibited in Zanzibar.

He said the Zanzibar government had ordered ZFA not to display any banner promoting alcohol in any of the Isles` stadiums.

Stars are in Group A together with Zambia, Senegal and hosts Zimbabwe.

Group B comprises Ghana, Libya and the Democratic Republic of Congo.
 
Sasa mbona karibu 30-40% ya pesa yote inatokana na pombe? Mbona waalimu wakipokea mshahara visiwani hawalalamiki imetokana na pombe?

Mbona barabara inajengwa kwa misaada na hii ni pesa ya walipa kodi Ulaya, Amerika na japan...na hii pia inajummuisha kodi ya pombe % kubwa? Kwa nini tusikatae hii misaada ya barabara...basi tupite za changarawe?

Naona kuna unaafiki tu!
 
Last edited:
Hao ndivyo walivyo!! wakati wa mfungo wa ramadhani biashara ya bia, kiti moto, na wateja gesthausi vinapungua kwa sana, lakini swala la matangazo ya biashara serikali nzima inalivalia njuga.
 
Ehhh, bwana weee. Kumbe hawa Wanyamwezi wangu wa Zenji akili zao hazijakaa sawasawa. Yaani mwezi wa Ramadhani ndiyo wanaacha kiti moto na bia? Kwa hiyo wauzaji mwezi wa Ramadhani wanaenda Bara nini? Ila nilisikia hata Dar mwezi wa mfungo biashara ya kiti moto inashuka. Sijui sababu hasa ni nini. Labda Wakristo hawataki kuwaudhi wenzao Waislam. Unajua tena maisha ya mijini ni kuvumiliana. Wee unakula barazani, mwenzio anapita na kakopo ka maji.
 
Hii sio kwa wanyamwezi tu hata BARA biashara inadoda kipindi husika
 
Hao ndivyo walivyo!! wakati wa mfungo wa ramadhani biashara ya bia, kiti moto, na wateja gesthausi vinapungua kwa sana, lakini swala la matangazo ya biashara serikali nzima inalivalia njuga.
Mwezi wa Ramadhan bia ni mtindo mmoja, na misosi ya nguvu. Sema inakuwa katika hali ya utulivu fulani hivi hadi pale king'ora cha kufuturu kinapopigwa... Na baa hurudi katika hali yake ya kawaida.

Zenj ni vituko kwenda mbele, karibu viwanja vyote vya kusaka kabumbu vimezungukwa na baa. Kuanzia uwanja wa Amani pale kuna baa ya ndani ya Hotel ya Aman ambayo ni sehemu ya uwanja huo, mbaya zaidi hoteli hiyo ina service short tiime. Ukija Uwanja wa Mao nao umezungukwa na baa, kuna ya Gymkhana ambayo imepakana kabisa na wanja hilo kiasi cha kuweza kusikia harufu nzuri ya Kilimanjaro Lager na hata wanywaji wanapocheka, vicheko vyao usikika ndani ya Mao. Viwanja vya Maisara ambapo klabu ya KMKM hufanyia mazoezi kuna Club ya Gofu ambao wao ufungua club yao saa mbili asubuhi na kuanza kuuza kilaji mpaka usiku wa manane.

Haya mambo ya Bia na soka la Zenj yametokana na baadhi ya watu, ambao walikuwa na umaarufu na vijisenti vyao wakati Kampuni za Ulabu zilipoanza kudhamini soka hapa Tz... Safari lager wameshadhamini soka visiwani humo na kuendesha klabu ya wazee.

Ni akina Raza na kundi lake ambao walidhani kuwa hawatakuja kuchacha walipoanzisha hoja ya kuzuia Bia katika soka la Zenj... na wakajipa kinga ya dini hadi kufanikiwa kwa hoja yao. Ukweli wa mambo hao wananchi na wachezaji wala hawajali kama kuna matangazo ya bia katika soka lao.
 
Kitendo cha kutoa habari hii katika vyombo vya habari vya huko Zanzibar inayohusu kuzuia kuonyesha banner ya Serengeti Lager, tayari kumeitangaza bia hiyo huko Visiwani. Kama walitaka isitangazwe, wangeambiana na TFF kimya kimya na kuhakikisha vyombo vya habari havijui kama TFF imeambiwa isidisplay! Tatizo huko viongozi wa soka ndio hao hao waandishi, kwa hiyo hakukuwa na jinsi ya kukwepa kuitangaza Serengeti. Nadhani kwa sasa kutakuwa na wananchi wengi tu wa Zanzibar wanaotaka kutesti ladha ya Serengeti Laga, na huenda wanajiuliza, hicho wanachozuiwa kwani kikoje?
 
Sasa mbona makelele mengi apo juu jamaa wamishasema matangazo au mabandiko ya ulevi wa tende hawataki kuyaona katika viwanja vyao ,ingawa Mkuu mmoja kutoka Tanganyika ameonekana ameshika kipaza sauti na kusema kama watu ni walevi wa tende,sasa hilo jawabu ndo amepewa kivyakevyake.
 
opaque-albums-op-pics-picture340-lager.jpg
 
Sasa mbona makelele mengi apo juu jamaa wamishasema matangazo au mabandiko ya ulevi wa tende hawataki kuyaona katika viwanja vyao ,ingawa Mkuu mmoja kutoka Tanganyika ameonekana ameshika kipaza sauti na kusema kama watu ni walevi wa tende,sasa hilo jawabu ndo amepewa kivyakevyake.
Tende ni tofauti sana na bia...
 
Kitendo cha kutoa habari hii katika vyombo vya habari vya huko Zanzibar inayohusu kuzuia kuonyesha banner ya Serengeti Lager, tayari kumeitangaza bia hiyo huko Visiwani. Kama walitaka isitangazwe, wangeambiana na TFF kimya kimya na kuhakikisha vyombo vya habari havijui kama TFF imeambiwa isidisplay! Tatizo huko viongozi wa soka ndio hao hao waandishi, kwa hiyo hakukuwa na jinsi ya kukwepa kuitangaza Serengeti. Nadhani kwa sasa kutakuwa na wananchi wengi tu wa Zanzibar wanaotaka kutesti ladha ya Serengeti Laga, na huenda wanajiuliza, hicho wanachozuiwa kwani kikoje?

Nafikiri una matatizo ya akili ,au hukusoma kilichoandikwa na baya zaidi hukufahamu kabisa,mumeambiwa matangazo ya ulabu hukohuko Tanganyika,huku watu ni walevi sana hata Mheshimiwa analijua hili ila kaambiwa matangazo bandikeni huko huko,bangi watu wanavuta na huoni kutangazwa lakini hakuna asieijua harufu ya bangi japo haivuti,na polisi wanakurupusha wavutaji japo wao wenyewe ndio wavutaji wakubwa.
Sasa kule Zanzibar wao ni kama polisi wamesema hatutaki kuona matangazo wamewafukuza jamaa na mabango yao,haina maana Zanzibar hawalewi wanalewa tena zaidi ya hiyo inayoleta marazi na kutoboa koo,jamani matangazo yenu hukohuko ,kesi kwisha sasa kama mnaweza kupeleka bungeni pelekeni lakini ndio hivyo.
 
Mwiba,

Ndo huu nasema ni unaafiki mtupu!

Kijifichaficha wakati watu wanakata kilaji kama kawa!

Hivi Kuna faida gani kujifichaficha?
 
Jamani ehhh, mwenzenu mshamba kutoka hapa Sikonge. Hebu mnisaidie kidogo, hivi hili neno "ulevi wa tende" ni nini hasa? Tende wanatengeneza Pombe? Maana yake nini hasa?

NB: Usinicheke kwani aulizaje ataka kujibu.
 
:D :D
Tende ni gongo. Kama unaijua gongo aka machozi ya simba, basi kule visiwani wao wanaiita tende
 
Mwambie kama Kikwete ndie aliesema WaZanzibari ni walevi wa gongo ,sema siku hizi inaitwa maziko saa nane ,mtaimbo wa mwanzo !!
 
Homeboy Kibunago. Asante kwa jibu. Nilikuwa najiuliza hivi maana yake ni nini? Yaani Rais badala ya kuongea Kiswahili sahihi anaongea cha kihuni namna hiyo. Ila sishangai kama alisema "ukitaka kula basi kubali na wewe uliwe kidogo" basi anaweza kusema lolote lile.

Gongo nalifahamu. Mara ya kwanza kunywa nilipata shida sana ule moto wake. Ilikuwa kama orgasm ya mara ya kwanza. Ila siku hizi mwenzenu aka, nalipiga vizuri tu maana shule niliyoipata na Watoto wa Kishoka, ilikuwa safi kabisa. Unabugia kwanza Vodka, na baadaye Kalubasa na unamalizia na kipande cha Tango. Kama mezani kuna mapilipili hoho basi mswano sana. Hapo sasa unaanza tafuta vijukuu vya Stallin. Hapo kwenye MAYAKA yako mziki wa Awa Pugachova unatesa "Kilimanjaro".......
 
Mwambie kama Kikwete ndie aliesema WaZanzibari ni walevi wa gongo ,sema siku hizi inaitwa maziko saa nane ,mtaimbo wa mwanzo !!
Mtaimbo wa mwanzo unapatikana katika tende, tena huwa na wateja wake maalumu, hasa wale marafiki wakubwa wa muuzaji/mtengenezaji. Natumai Sikonge anajua habari yake...:D
 
Sikonge alikutega na wewe ukategeka si umeona jawabu alilirusha au kwa kiswahili cha leo wanaliita Dongo.Amempopoa Kikwete.
Yaani Kikwete ni mtu wa ajabu sana ukimuona utasema hapa tumepata Raisi kumbe hamna chochote nilimuona uingereza alipokuja pale dukani ambapo nafanya kazi ,basi alikuwa ameweka mkono mmoja mfukoni huku anapiga miunzi ,anaimba ile nyimbo ya Tanzania tanzania nakupenda kwa moyo wangu wote,ila mimi niliuchuna na nikawa nazungumza kizungu cha kijamaica,mmoja wa mabodi gadi wake likamtoka neno ...awa ni ndugu zetu... mimi nikarudia il ya mwisho..tu...basi wakacheka sana ,ila jamaa na mirunzi yake anachagua suti.
 
Taifa Stars banners banned in Zanzibar

2009-02-08 10:46:35
By Mwinyi Sadallah, Zanzibar

The Zanzibar Football Association (ZFA) yesterday stopped their Mainland counterparts Tanzania Football Federation (TFF) from displaying banners of Taifa Stars` sponsors in Zanzibar.

Stars are camping in Zanzibar to prepare for the inaugural Africa Cup of Nations Cup (Chan) finals to be held in Ivory Coast from January 22 to March 8.

TFF information officer Florian Kaijage said yesterday at the Mao-dze-Dong Stadium that the stopping order was given by ZFA president Ali Fereji Tamim.

Kaijage said that Tamim ordered them not to display the banners of Serengeti beer and National Microfinance Bank (NMB) in the stadium.

Serengeti and NMB are the main sponsors of the Taifa Stars.

``We have decided to obey the order because we do not want quarrels. We will train without displaying those banners,`` Kaijage said.

ZFA publicity secretary Maulid Hamad Maulid confirmed that they banned the display of the banners because one of them was promoting alcohol which was prohibited in Zanzibar.

He said the Zanzibar government had ordered ZFA not to display any banner promoting alcohol in any of the Isles` stadiums.

Stars are in Group A together with Zambia, Senegal and hosts Zimbabwe.

Group B comprises Ghana, Libya and the Democratic Republic of Congo.

Kuna msemo usemao PILI PILI USIO ILA WEWE YAKUWASHIANI??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom