Kumezuka matangazo ya kujiunga na mitandao kadhaa ambayo inahamasisha watu wajiunge ili waweze kujikusanyia pesa kutoka mitandao hiyo, kuna wakati wanatangaza gharama za kujiunga wakitofautiana viwango vya kujiunga Tsh.20,000/= 80,000/= 90,000/= lakini unakuta mtandao ni huo huo mmoja na wakitoa ahadi nono za bonus kwa wanachama watakao jiunga.
Hii kitu imekaa vipi?