sekulu JF-Expert Member Jan 17, 2011 988 157 Feb 24, 2011 #1 Imagine ishu kama hii Attachments Xmass 2010 079.JPG 379.8 KB · Views: 601
Buswelu JF-Expert Member Aug 16, 2007 1,998 352 Feb 24, 2011 #2 Mhh si bongo hii.....Mbona ka nembo ka Taifa kama kamekuwa inserted?
sekulu JF-Expert Member Jan 17, 2011 988 157 Feb 24, 2011 Thread starter #3 Buswelu said: Mhh si bongo hii.....Mbona ka nembo ka Taifa kama kamekuwa inserted? Click to expand... Ni hapa Hapa kwetu mwana JF, Haina Photoshop Nimekipata kama Kilivo
Buswelu said: Mhh si bongo hii.....Mbona ka nembo ka Taifa kama kamekuwa inserted? Click to expand... Ni hapa Hapa kwetu mwana JF, Haina Photoshop Nimekipata kama Kilivo
Mpagama Senior Member Jan 9, 2011 127 7 Feb 24, 2011 #4 Sioni cha ajabu, haya ni mojawapo ya matangazo ya awali dhidi ya UKIMWI yaliyokuwa yakidhaminiwa na GTZ. Jamani huyo mdada (katuni) anataka kuhakikisha kuwa jamaa amevaa kabla hajamkaribisha kwenye honey pot yake.
Sioni cha ajabu, haya ni mojawapo ya matangazo ya awali dhidi ya UKIMWI yaliyokuwa yakidhaminiwa na GTZ. Jamani huyo mdada (katuni) anataka kuhakikisha kuwa jamaa amevaa kabla hajamkaribisha kwenye honey pot yake.
Susy JF-Expert Member Feb 5, 2011 1,431 221 Feb 25, 2011 #5 ha hahaaaaaa nimempenda huyo dada, kaamua kutumia tochi kabisa , ha ha haaaaa uwiiiiiiiiii mbavu zangu mieeeeeeee
ha hahaaaaaa nimempenda huyo dada, kaamua kutumia tochi kabisa , ha ha haaaaa uwiiiiiiiiii mbavu zangu mieeeeeeee
pamiho JF-Expert Member Jun 21, 2010 271 35 Feb 26, 2011 #6 Nisamehe bure ...Maana badala ya kuangalia attachment nikjikuta kuiangalia avator yako.... Katuni pia imenifurahisha sana
Nisamehe bure ...Maana badala ya kuangalia attachment nikjikuta kuiangalia avator yako.... Katuni pia imenifurahisha sana