Matangazo mengine yananifurahisha sana,....ebu imagine picha kama hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matangazo mengine yananifurahisha sana,....ebu imagine picha kama hii

Discussion in 'Jamii Photos' started by sekulu, Feb 24, 2011.

 1. sekulu

  sekulu JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Imagine ishu kama hii
   

  Attached Files:

 2. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2011
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mhh si bongo hii.....Mbona ka nembo ka Taifa kama kamekuwa inserted?
   
 3. sekulu

  sekulu JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Ni hapa Hapa kwetu mwana JF, Haina Photoshop Nimekipata kama Kilivo
   
 4. Mpagama

  Mpagama Senior Member

  #4
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  [​IMG]
  Sioni cha ajabu, haya ni mojawapo ya matangazo ya awali dhidi ya UKIMWI yaliyokuwa yakidhaminiwa na GTZ. Jamani huyo mdada (katuni) anataka kuhakikisha kuwa jamaa amevaa kabla hajamkaribisha kwenye honey pot yake.
   
 5. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #5
  Feb 25, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ha hahaaaaaa nimempenda huyo dada, kaamua kutumia tochi kabisa , ha ha haaaaa uwiiiiiiiiii mbavu zangu mieeeeeeee
   
 6. Nyadhiwa

  Nyadhiwa JF-Expert Member

  #6
  Feb 26, 2011
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 266
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nisamehe bure ...Maana badala ya kuangalia attachment nikjikuta kuiangalia avator yako....

  Katuni pia imenifurahisha sana
   
Loading...