.... wanatangaza live kutoka Uganda ... lakini mtangazaji na mchambuzi wanaongea tu hadithi na wala hawaelezi mchezaji gani ana mpira.... hasa ukizingatia jezi za wachezaji hazina majina ......Hebu angalia live Televisheni TBC 1 & 2.