Uchaguzi 2020 Matamshi ya Tundu Lissu kuhusu mgombea Urais yaleta mtafaruku mkubwa UKAWA

Mmepambana na uenyekiti wa Mbowe mkashindwa, sasa mmehamia kwa Lissu!
Kwa hiyo yeye keshajihakikishia kuwa mgombea uraisi wa UKAWA ni lazima siku zote awe anatoka chadema tu sio vyama vingine vinavyounda UKAWA?
 
Rubbish!!!
 
Wamekituma wewe mchawi kutoka lumumba?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM mnamtaka nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ma-ccm kazi yenu ni kupambana na Mh. Lissu. Serekali yote inapambana na Mh. Lissu ni aibu
 
Tundu Lisu alisema wakati wa kumpokea Lowassa kuwa chadema chama makini kiliajiri wataalamu wa kimataifa ambao ni huru wa tafiti za uchaguzii wanatoa Ripoti kwa chadema kuwa Lowassa ndie anafaa.Siku za karibuni Tundu Lisu amekuwa akijiigia debe kuwa anafaa kuwa mgombea uraisi wa chadema alipoongea na BBC na kule America.Swali langu kwake ni kuwa tafiti za mgombea uraisi wa chadema zilishafanywa na hizo kampuni za nje na Ripoti kukabidhiwa chadema? Kwenye hiyo Ripoti yeye Lisu ndio inampendekeza ndio maana anajipigia debe? Kama chama kina utaratibu wa kutafuta watafiti kwanza Je Lisu haoni kuwa anavuruguka huo utaratibu wa kivyama wa kufanya utafiti kwanza wa nani anafaa kwa kutumia kampuni za nje? Au chadema safari haina cha utafiti Kila mmoja anaruhusiwa kujiendea kivyake kama Lisu anayofanya?
 
..Lissu amesema atagombea ikiwa chama chake kitamteua.

..sasa labda ungewa challenge CDM wafanye utafiti kuhusu nani anafaa ndipo chama kimteue.

..lakini pia ungetahadharisha kwamba utafiti uliofanyika 2015 ulikipatia chama mgombea aliyechoka na aliyekuwa hana uwezo wa kufanya kampeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…