Uchaguzi 2020 Matamshi ya Tundu Lissu kuhusu mgombea Urais yaleta mtafaruku mkubwa UKAWA

Mmepambana na uenyekiti wa Mbowe mkashindwa, sasa mmehamia kwa Lissu!
Kwa hiyo yeye keshajihakikishia kuwa mgombea uraisi wa UKAWA ni lazima siku zote awe anatoka chadema tu sio vyama vingine vinavyounda UKAWA?
 
Washirika wa UKAWA wameijia juu Chadema kutaka itoe tamko kuhusiana na matamshi ya Tundu Lisu Ulaya na Marekani kuwa atagombea uraisi endapo atapitishwa na chama chake cha Chadema.Washirika hao wanahoji Je UKAWA ambao ndio uliokuwa Ukipitisha jina la nani agombee uraisi hr Chadema imejitoa na kuufuta UKAWA? Wanadai kuwa Lisu ni kiongozi wa juu wa Chadema na Mwanasheria anayejua juu ya makubaliano ya UKAWA kuhusu namna mgombea uraisi anavyopatikana ndani ya UKAWA kuwa huteuliwa na kupitisha na UKAWA na baadaye huungwa mkono na washirika wote wa UKAWA.Lisu kwenye matamshi yake anaonyesha wazi kuwa kazi hiyo sasa ni ya chadema pekee ndio itaifanya sio UKAWA.Wanataka chadema itoe tamko kuhusiana na hilo tamko la Tundu Lisu Mwanasheria mkuu wa Chadema na anayejinasibu kuwa mbobesi sana kwenye Sheria je chadema na Lisu bado wanaitambua au hawaitambui tena UKAWA na wala hawaihitaji? Majukumu ya kumteua mgombea uraisi yaliyokuwa yanafanywa pamoja na vyama vyote vya UKAWA majukumu.hayo hayapo tena chadema itajifanyia kivyake? Wanahoji.Kama UKAWA haupo tena na hahitajiki tena ni kikao kipi kilipitisha kuwa sasa Kila chama mshirika wa UKAWA ruksa kijiteulia mgombea wake wa Uraisi?.Washirika wa UKAWA wanaitaka Chadema itoe kauli kuhusu matamko hayo ya Lisu kuwa wanakubaliana nayo au la na kama ndio msimamo wa chama kuwa chadema ndicho kitakachoamua nani mgombea Uraisi na Sio UKAWA.
Rubbish!!!
 
Wamekituma wewe mchawi kutoka lumumba?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alisema ajipitishwa na chama chake wakati kama mwanasheria alitakiwa asema kama Umoja wetu wa UKAWA utaishia kuonyesha kuwa anaheshimu makubaliano ya UKAWA na ana adabu kwa UKAWA na kuonyesha jumuiya ya kimataifa kuwa Upinzani uko united na hatta mgombea huteuliwa kwa pamoja sio issue ya chama kimoja hilo lingeweza kuutangaza vizuri Upinzani wa Tanzania na kujifanya uuzike vizuri kwa wazungu.Lakini Kila akiulizwa kugombea uraisi anataka huteuliwa na chama chake tu hataji neno mdomoni linaloitwa UKAWA wakati ugombea Uraisi ni jambo la muungano wa UKAWA si jambo la chama kimoja .
CCM mnamtaka nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ma-ccm kazi yenu ni kupambana na Mh. Lissu. Serekali yote inapambana na Mh. Lissu ni aibu
 
Tundu Lisu alisema wakati wa kumpokea Lowassa kuwa chadema chama makini kiliajiri wataalamu wa kimataifa ambao ni huru wa tafiti za uchaguzii wanatoa Ripoti kwa chadema kuwa Lowassa ndie anafaa.Siku za karibuni Tundu Lisu amekuwa akijiigia debe kuwa anafaa kuwa mgombea uraisi wa chadema alipoongea na BBC na kule America.Swali langu kwake ni kuwa tafiti za mgombea uraisi wa chadema zilishafanywa na hizo kampuni za nje na Ripoti kukabidhiwa chadema? Kwenye hiyo Ripoti yeye Lisu ndio inampendekeza ndio maana anajipigia debe? Kama chama kina utaratibu wa kutafuta watafiti kwanza Je Lisu haoni kuwa anavuruguka huo utaratibu wa kivyama wa kufanya utafiti kwanza wa nani anafaa kwa kutumia kampuni za nje? Au chadema safari haina cha utafiti Kila mmoja anaruhusiwa kujiendea kivyake kama Lisu anayofanya?
 
..Lissu amesema atagombea ikiwa chama chake kitamteua.

..sasa labda ungewa challenge CDM wafanye utafiti kuhusu nani anafaa ndipo chama kimteue.

..lakini pia ungetahadharisha kwamba utafiti uliofanyika 2015 ulikipatia chama mgombea aliyechoka na aliyekuwa hana uwezo wa kufanya kampeni.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom