Matamshi ya Makamba yanakera

Mi chichemi mtafukuzwa kazi kama binti Fatuma because of this crazy sambaa
 
Huyu babu nae sasa kichwa kimechoka, maana hata anachosema hakina ushirikiano na akili yake.RIP Makamba.:laugh:
 
Huyu Mzee muacheni alivyo amalizie muda wake uliobaki muda wake ndio unaisha hivyo na kuongea na kuropoka kwake ndio kunamsaidia kupeleka mkono kinywani

Kwa taarifa yako ndugu yangu The Finest, akina makamba katika CCM wapo kibao. Hata yule mzee wa kusafirisafiri naye mbona ni "makamba". Chiligati unamweka katika kundi gani? Tambwe, Kingunge n.k. Cha msingi ni kukiweka chama hiki katika historia kama KANU. Nina hasira hapa!
 

F**c**k makamba, hana akili, hana uwezo wa kufikiri
 
teh teh teh! huyu msambaa kachanganyikiwa ndo mana kila kukicha anaropoka. Mhurumieni anastahili kupelekwa Lutindi kwa mental wenzake
 
You are wasting your calories with this nut,why don't find something else useful to do.To him the end justies the means,no matter what.

Oh my God Tikila or Tikerra! I see you have taken two tikilas b4 coming to JF! God Forbid.
 
Ndg yangu huyo kawekwa purposely kwa maslihi ya watu, kama hedge vile kabla ya kufikiwa lazima uruke ua utafute njia. Wewe unategemea SISIEM yote imekosa msomi wa kurun daya to day liabilities za chama, of all the people Yusuf Makamba!!!Hivi CV yake imekaa vipi???????????
 
unajua huyu mzee tatizo akiliyake inawaza vita, uongozi hawezi kabisa,,mi naona wengemkodisha kule tunisia akasaidia serikali...
 

Tusihangaike na mtu ambaye hana hoja, mwacheni azungumze tu na wale wajinga wenzake.
 
huyu mzee hana akili,,, kama angekuwa na akili basi asingemuuza mwanaye wa kike kwa JK......lazima awe na domo ili wanawe wapate kula, akisema akae kimya bas january na dada ake watakosa chchte so kinachotakiwa ni kumpotezea coz ni kama ndondocha la ccm....
 

CCM hawakubariki kabisa kwahiyo bila kufanya hivyo hawapati watu
 
Anayejua profile za wazazi wa Makamba aweke. Yawezekana ni genetical. Milembe wengi bado hawajaenda
 

Angeongea mambo ya kiungwana na kwa hekima ndiyo ingekuwa habari. Vinginevyo kila mwananchi anatambua kwamba makamba ni mropokaji, full stop.
 

Ni mbakaji wa wanafunzi aliyefukuzwa kazi ya ualimu baada ya kuparamia mwanafunzi. Ni mropokaji maarufu anayetishia rekodi ya mpwa wake tambwe hiza.
 
Hivi majuzi tu, ilisikika kuwa mzee makamba anafukuzwa ktk wadhifa wake..watu wengi hapa hawakufurahishwa na hicho kitu kwani upinzani utakuwa umeondokewa na mtu muhimu kwao..tulipenda awepo ili aharakishe mapinduzi kabla ya 2015!

HONGERA SANA MZEE MAKAMBA TUNAOMBA UENDELEE HIVYO HIVYO, WE SIO CHIZI UNAELEWA UNACHOKIFANYA! :msela:
 
:msela::msela::msela::msela:watu kama makamba lazima wawepo ili kututia hasira....lakini siku moja watashangaa kama sio watoto wake basi wajukuu watakapo kwenda kuomba hifadhi ya ukimbizi nchi jirani sisi tunasubiri tu ...na mbegu yangu nitaipanda hata kwa mwanangu kwamba rostam...makamba...lowasa...kikwete...jeetu pateli ..manji...philipo mangula...na wengineo hawa ndo waliiua tanzania na watoto wakijua hayo ntakuwa nimepanda tayari chuki na kwahiyo mimi nikianza wao watamalizia....wanajifanya wanajua ngumi na misuri hawana.
 
We mushy mbona kaongea vitu vya kawaida sana ,hata kama karopoka u dont have to make it a big deal grow up man and learn to face reality instead of sitting on ur backside COMPLAINING about everything instead of working because HOW SURE ARE U KWAMBA HATA WEWE HAUKERI.be your age
 
We mushy mbona kaongea vitu vya kawaida sana ,hata kama karopoka u dont have to make it a big deal grow up man and learn to face reality instead of sitting on ur backside COMPLAINING about everything instead of working because HOW SURE ARE U KWAMBA HATA WEWE HAUKERI.be your age
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…