Matamko haya ya CHADEMA ni mipango ya muda mrefu?


Hapo kwenye bold hakuna mjadala... Bangi tupu. Sasa umepost ili watu wafanye nini?
 

Hujui ulicho andika, ama umesahau ulicho kua umetumwa ukiandike na hao wapumbavu wenzako! Nahitaji kujua uwezo wako kielimu.
 
Yaani hapa unachojaribu kusema ninini?...ulimboka hakutekwa?....ile picha ni photoshop..?.ccm hawajachoka ua nini haswa...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…