Matamasha ya Wahuni Days kwa HIsani ya CHAMA CHA MAPINDUZI yanazidi fifia zaidi nchini

Kila siku nakuambia usipende kuingia JF huku umetutika viroba.

Si unajua nimepita ktk tamasha la wahuni wa CCM wakanipachika nafasi ya wageni waalikwa toka vyama vingine.
 
mkuu Nicholaus mimi namsifu sana Dr Slaa kwa hatua aliyoichukua ya kuwaita hao walevi wa viroba wabeba mabango mbele ya mkutano na kuwaomba waeleze madukuduku yao. kwa kweli madukuduku hawana na imedhihirika kuwa wametumwa. hii ni strategy nzuri aliyoitumia dr.

kuonyesha cdm iko gado mikutano yote hao walevi wa viroba na mabango yao wawekwe mbele na waulizwe maswali km wale wa mkutano wa kwanza. cdm ni chama cha demokrasi mkuu. viva cdm. stronger we shall stand, forever.

Dr.W.Slaa ni soo..alipowaweka mbele..polisi walijua game wameshpigwa bao...hao jamaa wangalianzisha polisi wasingeweza wawahi ktk maigiza ya kuwshika kumbe wanawaokoa kabla hawajaiumbua CCM na kudhurika wao.
 
Yale Matamko yao pia yameshapoteza dira baada ya kugundulika kumbe pesa wanayopewa Wasaliti kutoa matamko ni ndogo sana kulinganisha na Mwigulu anachodanganya ofisini ametoa. Na Wasaliti wengine kustukia dili na kutaka kiasi kikubwa zaidi bila kutafakari kwamba Mwigulu nae ndio mabao yake kwa Mijinga yake. Sasa akale wapi? Polisi?
 
ccm onfezeni pesa za matamko mbona hatuyasikii tena au tayari wale 50 wamekwisha..
 
Kwa alioona na kufuatilia media ni wazi watakuawa waskishangaa nini kinaendelea.NI matamasha ya wahuni "Wahuni days".Tamasha linalohusisha wahuni wa CCM kwa ufahidi wa CCM wenyewe.

Mojawapo aya tabia zao ni kupenda igiza vyama pinzani,kuwafanyia fujo,na kuwa wasemaji wa vyama hivyo au hata kuwafariji na kuwasaidia mabaki ambayo bado hayajaamini kutupwa nje ya vyama hivyo.


Maeneo mengisa na atamasha haya yanaoneka kufifia harak asna muda mfupi baada ya kuanza..na wataalamu wa mambo na mashuhuda wanasema matamasha haya ni km hayakufanyika kabisa kwa jinsi yalivyokosa nguvu,mvuto aua ushawishi.

Mwaka huu hawa wahuni wanakwenda sambasamba na mikutano ya CDm haswa ya dr.Slaa.wakiwaigiza, wakipa wujumbe,wakichoba bendera mpya,wakiwa waandishi wa habari na wakiwa km wahusika ktk uchomaji wa Bendera.Sababu za hawa ahuni kufifia huku wakiwa na ufahdili mkubwa wa CCM wenye hele haramu na chafu sana.NI pamoja na kutokuwa namvuto, ni pamoja na wao kuchagua upande mbaya wa historia, upande mbaya wa fikra, na vitu vyote vinavyowaudhi wananachi.

Kwa lugha yako tu..'yanazidi fifia' 'kupenda igiza' inaonekana wewe ni chadomo chumbani (aisee babangu ee fukuza hao tule ruzuku kwa amani )
 
ccm onfezeni pesa za matamko mbona hatuyasikii tena au tayari wale 50 wamekwisha..

haha....haloween ya mwaka huu wanasema imenyesha mvua ya ghafla mahuni wakashindwa celebrate
 
Back
Top Bottom