Tuhamie piptwitz.com kule positivity kubwa kila mtu ana trade forex humu kuna watu yamewashinda sasa wanaharibu vichwa vya wanao pambana hakuna kitonga kokote maishani ukiona kitu kila mtu anaweza akakifanya akatengeneza pesa nacho jua kabisa hakuna pesa yakueleweka hapo. Ila ukiona kugumu ni wachache wanaweza kuiga au kutengeneza pesa na biashara yako basi jua upo sehemu sahihi chakufanya pambana uwe kwa wachache.
Imeshapita miaka miwili sasa tangu Ontario awafundishe ku download pesa na msemo wenu wa Forex is not for everyone.... mkasema tuwaache mpige pesa vipi jamani Mnaendeleaje na Kudownload fedha?
Binafs forex ndio.biashara yangu inayo nisaidia kuish mjini ukizingatia ajira nilio ajiriwa ni ya kutokaa sehem moja mda mrefu.
Inainua sana nyakat ngum