wakuu leo nimebadilisha matairi manne Tubeless ya gari Langu 2001 Land cruiser Prado, bado yana hali nzuri sana na yanafaa kwenye Prado, Pajero etc yanayotumia (265/70 R16)..ni hayo manne kutoka chini. hayo mawili ya juu yalitoka kwenye Suzuki Escudo (215/70 R16).
bei 100,000/= each..(negotiable) kwa matairi ya Prado na 60,000/= each kwa matairi ya Suzuki..
contacts: 0767-174757, 0716-904626
Arusha.
we jamaa mbona unaweka matairi jikoni jirani na kabati la vyombo? jokes man, ni bei nzuri na matairi yanafaa kwa town trips i wish i could buy them but sina prado
we jamaa mbona unaweka matairi jikoni jirani na kabati la vyombo? jokes man, ni bei nzuri na matairi yanafaa kwa town trips i wish i could buy them but sina prado