Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Sijui kama hizo chanjo ni salama maana nimesikia mataifa mengine yanazikataa kwa kusababisha watu 17 kuganda damu.Mataifa makubwa barani Ulaya yamesema yataanzisha upya matumizi ya chanjo ya
Kwani hilo tatizo la CORONA limeletwa na nani?Mabeberu hawana nia mbaya katika huu ulimwengu,wanaumiza kichwa kutatua tatizo la corona maana hata wao linawasumbua sana,lazima wawe makini na accurate katika kutafuta ufumbuzi,yaani katika watu mil 15 waliopata chanjo then watu 40 wamepata blood clot then ndio unaconfirm kwamba chanjo ndio iliyosababisha? Elimu, Elimu ,Elimu.
Somo la Biology ulipata ngapi?Kwani hilo tatizo la CORONA limeletwa na nani?
Jibu swali wewe; ni muhenga sana mimi na wewe bado kigoli kabisa. Nauliza tena, kwani CORONA imeletwa na nani?Somo la Biology ulipata ngapi?
Jibu swali wewe; ni muhenga sana mimi na wewe bado kigoli kabisa. Nauliza tena, kwani CORONA imeletwa na nani?
Nini kilisababisha? Je ikitokea hii chanjo ikawa na hayo madhara kwa muda wa usoni kwa sababu haijapitia hatua za kawaida hauoni kama kutakuwa na global catastrophe kwa sababu asilimia kubwa wamechanjwa fasta na chanjo ya majaribio?Mabeberu hawana nia mbaya katika huu ulimwengu,wanaumiza kichwa kutatua tatizo la corona maana hata wao linawasumbua sana,lazima wawe makini na accurate katika kutafuta ufumbuzi,yaani katika watu mil 15 waliopata chanjo then watu 40 wamepata blood clot then ndio unaconfirm kwamba chanjo ndio iliyosababisha? Elimu, Elimu ,Elimu.
Ukiacha wenye matatizo kama pumu, moyo n.k, Corona ina revovery rate ya 99.9+%Sijui kama hizo chanjo ni salama maana nimesikia mataifa mengine yanazikataa kwa kusababisha watu 17 kuganda damu.
Naona sisi tutumie tu njia za kujikinga kama kuvaa barakoa ila chanjo imenipa mashaka hata kama rais ajae akiona ije ila mmm naogopa.
Sijui kama hizo chanjo ni salama maana nimesikia mataifa mengine yanazikataa kwa kusababisha watu 17 kuganda damu.
Naona sisi tutumie tu njia za kujikinga kama kuvaa barakoa ila chanjo imenipa mashaka hata kama rais ajae akiona ije ila mmm naogopa.