Lai Otieno
JF-Expert Member
- Aug 13, 2013
- 311
- 90
mataifa makubwaTaarifa zako kutoka wapi????!!!
KWA TAARIFA NILIZONAZO :mataifa yote makubwa hawapo tayari kuona C C M inaachia madaraka kwa kuwa wanapata kila kitu bure hasa rasilimali kutoka kwa Uongozi wa Serikali ya chama hicho
viongozi waliopo madarakani hawana tena sauti kwa watanzania walio wengi,ila kwa ubabe wa wakubwa ikiwemo China na Marekani,ndo maana Juzi aliyeitwa balozi wa China alifanya aliyofanya kwa mkutano wa Kinana
ziara za nje za serikali zimekuwa kuomba msaada wa chama kubaki madarakani kuliko kuwasaidia watu wake kujiletea maendeleo
MY TAKE; vyama vya upinzani visitegemee sana wahisani toka nje wajikite kwa elimu ya uraia hapahapa nchini
mataifa makubwa
Wale wadenish na waitaly wanaoisadia chadema siyo mataifa makubwa kumbe.KWA TAARIFA NILIZONAZO :mataifa yote makubwa hawapo tayari kuona C C M inaachia madaraka kwa kuwa wanapata kila kitu bure hasa rasilimali kutoka kwa Uongozi wa Serikali ya chama hicho
viongozi waliopo madarakani hawana tena sauti kwa watanzania walio wengi,ila kwa ubabe wa wakubwa ikiwemo China na Marekani,ndo maana Juzi aliyeitwa balozi wa China alifanya aliyofanya kwa mkutano wa Kinana
ziara za nje za serikali zimekuwa kuomba msaada wa chama kubaki madarakani kuliko kuwasaidia watu wake kujiletea maendeleo
MY TAKE; vyama vya upinzani visitegemee sana wahisani toka nje wajikite kwa elimu ya uraia hapahapa nchini
hayo unayowakilisha ni mawazo yako au ya Low HasaWatu wote wangekuwa na mawazo kama ya huyu jamaa taifa lingeporomoka sana kiuchumi hata kimaadili mawazo mfu.
upo ushirika wa kujiimarisha kisiasa ila si kupora rasilimali,eti na wewe ni timu ya Low hasa mna mkaziChama kisicho na ushirika na mataifa makubwa ni kipi hapa Tanzania????!!!
upo ushirika wa kujiimarisha kisiasa ila si kupora rasilimali,eti na wewe ni timu ya Low hasa mna mkazi
BAVICHA ni lini mtapevuka kiakili na kutoa mada zenye tija kwa watanzania?
BAVICHA ni lini mtapevuka kiakili na kutoa mada zenye tija kwa watanzania?