MATAGA tunadhalilishana sana

hivii jamani naomba mnielewesheni nini maana ya neno ”MATAGA".
Nimona likitumuka sana lakin kwa bahat mbaya sifaham maana au kiref chake...mwenye ufaham tafadhali aniondoe ujinga.
Make Tanzania Great Again
 
Teh...!
Lini Tanzania ilikuwa Great!?

CCM huwa wanajitekenya na kucheka wenyewe.
 
Tatizo lao wanadhani kila mtu anakubaliana na mawazo yao, na kila mtu anaunga mkono mambo yao.
Ile dhana kwamba kila msanii ni wakwao, sasa huyu kakataa kutumika hovyo, utasikia ni CHADEMA huyo.
sio mzalendo
 

Wameimba nyimbo zote za sifa na kuabudu sasa WANAINGILIA REGGAE
 
Mataga ni nini........?.......
Kila mahali naona hii.......
Wewe dada upo ? Sijakuona siku nyingi saana.
MATAGA ni watu wanaounga mkono juhudi za mh rais ya kufanya tanzania mpya.
 
ni kifupi cha "Make Tanzania Great Again"(MATAGA)
hivii jamani naomba mnielewesheni nini maana ya neno ”MATAGA".
Nimona likitumuka sana lakin kwa bahat mbaya sifaham maana au kiref chake...mwenye ufaham tafadhali aniondoe ujinga.
 
Hawa jamaa wana vituko sana, kwani ni lazima kila kitu uige? Eti Make Tanzania Great Again, ni lini Tanzania ilikua Great?
Hamtaki hata kusumbua vichwa vyenu kuwaza slogani mpya
 
Mataga ni nini........?.......
Kila mahali naona hii.......
MAKE TANZANIA GREAT AGAIN



kwa kazi anazofanya Mwenyekiti wa chama vijana wake ndio tunaitwa hivyo [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
 
MATAGA
MAKE TANZANIA GREAT AGAIN.

WALIIGA KWA TRUMP
MAKE AMERICA GREAT AGAIN!

TEH TEH TEH

Trump ndio kaiga kwetu

Trump kamkuta Chuma kipo Mamlakani na tukitumia kauli hiyo tangu 2016
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…