Hill nalo nenoBado mapema sana mjue,isije tena tukaanza kutupiana matusi kisa tu kila moja upande wake wa kiasa
Hill nalo nenoBado mapema sana mjue,isije tena tukaanza kutupiana matusi kisa tu kila moja upande wake wa kiasa
Watu wa idara ya habari na mawasiliano wameshaanza kupindisha maagizo yake !Tutarudi hapa tena kumtukana mama wa watu na kitu ambacho wengi huwa hawaelewi tatizo ni mfumo uliopo mama anaenda kuhujumiwa mchana kweupe wenye mfumo wao wanamhesabia tu awajaze maneno matamu watanzania wapiga zumari
Lazima ahujumiweWatu wa idara ya habari na mawasiliano wameshaanza kupindisha maagizo yake !