Kifo si kitu kibaya ila kama kitafika wakati ambao si husika basi ni kibaya!
Matabibu hutibu muda wa uhai,tafsiri yake ni kuwa matabibu hujua kwamba kifo ni lazima kitupate lkn hutibu leo ili ufe kesho! lkn si kuwa hutibu kifo bali muda wa uhai!.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.