Mataa jiji la Arusha

Mataa jiji la Arusha

Mtoto wa kijiji

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2017
Posts
319
Reaction score
185
Ni ndani ya jiji la Arusha. Mataa ya Sanawari karibu mwezi sasa ni giza totoro. Nini tatizo haswa,ni wataalam au pesa?

Nawasilisha
 
Unaongelea mataa gani sasa yakuongozea magari au security lights.... kama ni yakiuongoza magari wazime tu tunafurahi hakuna foleni kabisa... ila kama ni security lights ni kweli hatari sana hata sakina haziwaki usiku..
 
Wamepelekwa mafundi uchwara kutoka technical wameshindwa tena kidogo waunguze kila kitu,hapo inabidi wachina warudi kuwasha mataa yao.
 
Kuna yale mataa ya Philips ni sekunde 30 tu inawaka ile taa ya kijani nimeshangaa sana na ndio bara bara kuu mbele yake wanakaa Police Trafik kukamata waliounga na taa ya njano na kupigwa faini badala ya wale trafiki wasaidie kuvuta foleni wao ndio wanataka foleni ili wapige fine kweli Bongo maendeleo mtayasikia tuu kwa akili hizo na kutozingatia muda...taa ikiwaka zinapita gari nne tuu ndogo likiwepo kubwa mbele ni mawili tuu...
 
Back
Top Bottom