Kuna baadhi ya mambo yalinifanya niumize akili enzi za uto to
1- mtu akivaa overall (kanyela mumo) anakunyaje?
2-mama akienda kujifungua, je mototo hupitia wapi kutoka tumboni?
3-baba na mama, walizalia pamoja?
4-mwalimu ndie mtu mwenye akili kuliko watu wote?
5-rais ndie mwenye nchi?
Ongezea maswali yalio kutatiza utoton
ya kwangu yalikuwa haya:
1. je mtu akifa anapandia wapi kwenda mbinguni?
2.je raisi anakunya?
ya kwangu yalikuwa haya:
1. je mtu akifa anapandia wapi kwenda mbinguni?
2.je raisi anakunya?
Hii imenichekesha sana. duuu hasa hiyo ya mwisho.1.Lakwangu lilikuwa mungu aliumbwa na nani, 2. kwanini mungu ni mzungu afu shetani mwafrika, mana sande skuli walikuwa wanatuonesha picha za kuchora mungu mzungu shetan mwafrika. 3. Kwanini unakula chakula kizuri kikitoka yani ukinya kinatoa harufu nilikua najiuliza nani kakaa tumboni anakipaka mavi.