Kwanza wadau pole na mihangaiko, naomba kusaidiwa waliofanya mitihan mchujo utumishi, maswal wanalenga nin profesional au general?? nmeitwa huko.
Hahaa tajeni field mlizoomba tuwamwagie maujanja.
Huwa wanuliza aswali general kama
1:"unapenda muundo upi wa serikali kati ya serikali moja, serikali mbili au serikali tatu"
2: upi ni msimamo wako juu ya hilo?
3: kati ya M4C na vua gamba unapenda ipi?
4:kati ya CHADEMA, CCM Na CUF kipi ni bora ?

utani kwako, ila tulio kwenye panel ya interview ndo tunakupa live bila kumung'unya mung'unya maneno.
duh! Kumbe mmeitwa?
Kwahyo sie ambao kimya ndo basi tena!
eleka jiwe