Kwahyo akidai haki yake inakuwaje hapo..?Yaani hii case yake ni System tu ndio ime command hivyo.
na utumishi wamesema hawwz badili. maana mzigo mpk umekuwa Published inamaana walisha signed.
Kk teaching ODL unakusudia nn?Kwa Kada yangu maswali yalikuwa ya Multiple Choice. haya ku base katika cozi yangu kabisa
Yalikuwa yame base kweny ICT, RESEARCH na TEACHING ODL. bas
Maswali yalikuwa 40. DK ni 40 pia.
Japo kuna wenzangu wa kada nyingine walitolewa mswal ya kuji explain akituliia nita muuliza n maswal gan nitawapa mrejesho.
N.B Now nipo sielewi kama nimetobooa Written au laa.
nipo nasukuma PlayStation hapa nipunguze machungu.
hizo ni online and distant learning strategiesKk teaching ODL unakusudia nn?
Nimeangalia muda huu kwenye website ya OUT kashabadilishiwa. Jamaa aliamua kwenda hivyo hivyo au alikataa tamaa kabisaYaani hii case yake ni System tu ndio ime command hivyo.
na utumishi wamesema hawwz badili. maana mzigo mpk umekuwa Published inamaana walisha signed.
Kashabadilishiwa mkuu.Kwahyo akidai haki yake inakuwaje hapo..?
Mimi bado siamini katika hili, nahisi Kuna kitu nyuma ya Pazia.. coz ni kwa mara ya kwanza naona haya maruerue
Kwa uzoefu huo mtihani wa kuandika utakuwa ni kwa ajili ya kuchuja watu watakao fanya usahili wa mamneo (oral interview) kwa hiyo huenda kwanza ikawa ni English Test, then paper nyingine itakuwa ya profession yaani Chemistry, lakini pia jiandae kwa oral interview na kwa kuwa wanatafuta tutorial assistant ujiandae pia kwa presentation! Kila la kheriYapo kweny Website ya UTUMISHI mkuu yametoka leo.
Yaah kabadilishiwa nahisi ni makosa ya kiufundi tu.Kashabadilishiwa mkuu.
Kama bado hana majukumu hawezi kuelewa umuhimu wa kuwa seriousUkiwa na watu au mtu anayekutegemea sana na anatafuta ajira, unawezakujikuta kuna muda kama wewe ndiye unahangaikia ajira kuliko hata yeye anavyojihughulisha.
Najua ni lazima ana akaunti ya Jf, natamani ningeijua user name yake ili niwe namtag kwa lazima kwenye nyuzi zinazomfaa kwa sasa. Ila cha ajabu, unaweza kuta, masikini mwenyewe hana habari anashinda kwenye kula tunda kimasihara.