Kwa Kada yangu maswali yalikuwa ya Multiple Choice. haya ku base katika cozi yangu kabisalerman3x
Nakuombaa
Duhh boss, inaonekana ilikuwa sio poa asee, Sasa unapigwa multiple choices ambazo hazihusiani kabisa na kozi yako tena ni test yote dahh. Yaani Cha msingi ujuwe kubet tu.Kwa Kada yangu maswali yalikuwa ya Multiple Choice. haya ku base katika cozi yangu kabisa
Yalikuwa yame base kweny ICT, RESEARCH na TEACHING ODL. bas
Maswali yalikuwa 40. DK ni 40 pia.
Japo kuna wenzangu wa kada nyingine walitolewa mswal ya kuji explain akituliia nita muuliza n maswal gan nitawapa mrejesho.
N.B Now nipo sielewi kama nimetobooa Written au laa.
nipo nasukuma PlayStation hapa nipunguze machungu.
Pole sana mkuu jiandae kwa lolote.Kwa Kada yangu maswali yalikuwa ya Multiple Choice. haya ku base katika cozi yangu kabisa
Yalikuwa yame base kweny ICT, RESEARCH na TEACHING ODL. bas
Maswali yalikuwa 40. DK ni 40 pia.
Japo kuna wenzangu wa kada nyingine walitolewa mswal ya kuji explain akituliia nita muuliza n maswal gan nitawapa mrejesho.
N.B Now nipo sielewi kama nimetobooa Written au laa.
nipo nasukuma PlayStation hapa nipunguze machungu.
Naimani utatoboa.Kwa Kada yangu maswali yalikuwa ya Multiple Choice. haya ku base katika cozi yangu kabisa
Yalikuwa yame base kweny ICT, RESEARCH na TEACHING ODL. bas
Maswali yalikuwa 40. DK ni 40 pia.
Japo kuna wenzangu wa kada nyingine walitolewa mswal ya kuji explain akituliia nita muuliza n maswal gan nitawapa mrejesho.
N.B Now nipo sielewi kama nimetobooa Written au laa.
nipo nasukuma PlayStation hapa nipunguze machungu.
aingie kwenye account yake huwa wanatangulia kuweka kulePole sana mkuu jiandae kwa lolote.
Hadi kufikia saa 3 sijaona chochote kwenye website, huenda wanaweza kuitwa kimya kimya kwenye oral, hujuma huwa haziishi.
Uliomba na ile nafasi kwa Mkemia mkuu?
Kwa Mkemia wametoa Majina kwani ya Usaili?Pole sana mkuu jiandae kwa lolote.
Hadi kufikia saa 3 sijaona chochote kwenye website, huenda wanaweza kuitwa kimya kimya kwenye oral, hujuma huwa haziishi.
Uliomba na ile nafasi kwa Mkemia mkuu?
Wewe ulikuwa umeitwa tutorial ipi pale? Maana kulikuwa na Kada nyingi za TAKwa Kada yangu maswali yalikuwa ya Multiple Choice. haya ku base katika cozi yangu kabisa
Yalikuwa yame base kweny ICT, RESEARCH na TEACHING ODL. bas
Maswali yalikuwa 40. DK ni 40 pia.
Japo kuna wenzangu wa kada nyingine walitolewa mswal ya kuji explain akituliia nita muuliza n maswal gan nitawapa mrejesho.
N.B Now nipo sielewi kama nimetobooa Written au laa.
nipo nasukuma PlayStation hapa nipunguze machungu.
BadoKwa Mkemia wametoa Majina kwani ya Usaili?
Huyo mwamba kwenye Chemistry ana marks kubwa ila hajachaguliwa, atakuwa kavunja sheria za pepaMzigo huo. Kila la heri
Mkuu kila la kheri huenda ushatoboa writtenKwa Kada yangu maswali yalikuwa ya Multiple Choice. haya ku base katika cozi yangu kabisa
Yalikuwa yame base kweny ICT, RESEARCH na TEACHING ODL. bas
Maswali yalikuwa 40. DK ni 40 pia.
Japo kuna wenzangu wa kada nyingine walitolewa mswal ya kuji explain akituliia nita muuliza n maswal gan nitawapa mrejesho.
N.B Now nipo sielewi kama nimetobooa Written au laa.
nipo nasukuma PlayStation hapa nipunguze machungu.
Duuuh kweli nimeona, labda ni cheatingHuyo mwamba kwenye Chemistry ana marks kubwa ila hajachaguliwa, atakuwa kavunja sheria za pepa
Hili nalo la kulinote mkuu.Duuuh kweli nimeona, labda ni cheating
Ni mwanangu nilikuwa na chat nae, wamemgomeea kubadilisha hiyo remark.Huyo mwamba kwenye Chemistry ana marks kubwa ila hajachaguliwa, atakuwa kavunja sheria za pepa
Hakukuwa na kosa lolote allilofanya? Hata alipowacheki wabadili hakuambiwa kosa?Ni mwanangu nilikuwa na chat nae, wamemgomeea kubadilisha hiyo remark.
Jamaa alikuwa Dodoma anamuuguza Mother wake, kaja kupiga paper kafaulu lakni nashangaaa figisu ya not selected.
cjuii iyo nafasi anapewa nan?? Ila sio fair.View attachment 2325020
Riziki ipo, huenda ishatengwa kwenye placement unayoisubiri.Nimelaza mshale hapo.. Mambo ya Teaching yameniangusha. Nguo zangu za kuingilia Oral ngoja nizirushe kwny Kabati. Asanteni kwa ushirikiano wakuu.
Tutorial Assistant-NUTRITION, Kuna mwamba kapiga 99% πππππ sijui ni MTu kuwa na hasira na AJIRA au kuwa na kismartMzigo huo. Kila la heri