Hapana Mkuu kuna baadhi ya Kozi huwa zinahiyaji wataalam kutoka Field husika.Kwa hiyo ndio zimeanzishwa sasa?
Duuuh watu mna Raha kweli kozi 36 ndani ya miaka mitatu basi tulia mkuu relax utatoboa tu.
Me Bachelor yangu Niko na zaidi ya courses 45.. kwahyo kama mambo ya interview hapo nitakuwa naangalia mambo muhimu na applicable yanayoendana na post husika.
SHUKRANI mkuu🙏Haya hapaaView attachment 2321064
mkuu nime assume tu ninazo obvious 44 kiujumlaDuuuh watu mna Raha kweli kozi 36 ndani ya miaka mitatu basi tulia mkuu relax utatoboa tu.
Me Bachelor yangu Niko na zaidi ya courses 45.. kwahyo kama mambo ya interview hapo nitakuwa naangalia mambo muhimu na applicable yanayoendana na post husika.
Watupe maujuzi hakikaNgoja nibane hapa hapa kwanza
Nimekupata mkuuHapana Mkuu kuna baadhi ya Kozi huwa zinahiyaji wataalam kutoka Field husika.
Mfano Chuo cha Muhas lazima ukute Lecturer wa Development Studies (DS) , LECTURE wa IT. japo hizo coz hawatoi hapo.
Kiufupi OUT wana coz z Education so lazima wasake wataalam kwny Field husika
Mkuu unajua kuunganisha projector? lifanyie kazi hilo kama bado.mkuu nime assume tu ninazo obvious 44 kiujumla
🤣🤣🤣🤣🤣hahahha nikivuka Written nitaanza nalo jili
matokeo hayajatoka hadi sasa hivi! au kuna usanii unafanyika.Mtupe feedback Leo...Huko OUT ngoma ilikuwajee
watapublish kwenye website ya Utumishi..?matokeo hayajatoka hadi sasa hivi! au kuna usanii unafanyika.
hili liko wazi kabisa Mkuu,Kuna mipango ovu inaweza kufanyika.hasa ukizingatia nasikia wamesimamia wenyewe usaili
walisema watachapisha mchanawatapublish kwenye website ya Utumishi..?