nikitoboa Written nitalizingatia hiliMie nakusaidia oral mkuu jiandae na topic moja unaijua vizuri utapewa karatas Kama mtakua wengi utaambiwa uchague topic na u present na u assume Kama panel ni wanafunzi unawafundisha so utaandika maelezo we then mtakusanya karatas msubri kuitwa interview ukiingia watakuambia usamarize ulichoandika kwenye karatas baada ya hapo utapigwa swali moja kulingana na ulichopresent jiandae na important ya topic Yako, baada ya hapo ni introduce you self and your education background, baada ya hapo ni maswali mengine Kama mawili hivyo interview inaisha so ni hicho nachojua mie sina nodo za written kwa sababu ya kada tofauti na niliyosomea mie
Wewe Elewa. Mm nimepiga moja. Walio itwa kazini, address zao wote ni wa Mkoa ule tu. (Why?). Mwaka huu ndio wamebadili mfumo. Zamani tulikuwa tuna piga paper za utumishi General Questions. Sasa hivi vyuo vinatunga maswali na wana sahihisha wao. Matokeo wana wapa watu wa utumishi kutangaza tu. Ni upuuzi mtupu. Vyuo vina watu wao. Paper utadhani kukomoana. Maswali mengiiiiii na mareefuuuuuu utadhani kukomoana. Hivi mtihani 1 wa kuandika umchuje Tutorial Assistant, Assistant Lecturer au Lecturer in oneday? Watu wapigwe Oral wote.Mkuu hili paper ume Experience kutoka Chuo gani??
Tutorial hakuna hicho kitu. Wapo wengi. Ni mchujo kwanza, Written, paper jiwe.Mie nakusaidia oral mkuu jiandae na topic moja unaijua vizuri utapewa karatas Kama mtakua wengi utaambiwa uchague topic na u present na u assume Kama panel ni wanafunzi unawafundisha so utaandika maelezo we then mtakusanya karatas msubri kuitwa interview ukiingia watakuambia usamarize ulichoandika kwenye karatas baada ya hapo utapigwa swali moja kulingana na ulichopresent jiandae na important ya topic Yako, baada ya hapo ni introduce you self and your education background, baada ya hapo ni maswali mengine Kama mawili hivyo interview inaisha so ni hicho nachojua mie sina nodo za written kwa sababu ya kada tofauti na niliyosomea mie
una shauri vipi sasa MrWewe Elewa. Mm nimepiga moja. Walio itwa kazini, address zao wote ni wa Mkoa ule tu. (Why?). Mwaka huu ndio wamebadili mfumo. Zamani tulikuwa tuna piga paper za utumishi General Questions. Sasa hivi vyuo vinatunga maswali na wana sahihisha wao. Matokeo wana wapa watu wa utumishi kutangaza tu. Ni upuuzi mtupu. Vyuo vina watu wao. Paper utadhani kukomoana. Maswali mengiiiiii na mareefuuuuuu utadhani kukomoana. Hivi mtihani 1 wa kuandika umchuje Tutorial Assistant, Assistant Lecturer au Lecturer in oneday? Watu wapigwe Oral wote.
Utumishi wasimamie mitihani zote hadi Written.
Wewe jiandae. Ka komae kibabe. Kila mtu na bahati yake. Mungu akutangulie.una shauri vipi sasa Mr
Tutorial Assistant ni kazi ya kufundisha chuoni, kwa namna yoyote huwezi kuulizwa maswali nje ya field uliyoomba.Habarini wana jamiii forums, nipo kuomba tena msaada. Nimekuwa shortlisted kwenye kada ya TUTORIAL ASSISTANT chuo cha Open University.
nilitaka kutambua maswali gani huwa yanaulizwa kweny hii Position kiujumla.
Nina siku 4 tu za maandalizi sielewiii nianze kushika lipi.
Natanguliza shukrani wakubwa.
Asisahau researchSina uzoefu wa usahili wa maandishi ila nakushauri upitie job descriptions na uweze kujikumbusha mambo muhimu unayohisi yanakutatiza.
Pia kwenye kufundisha pitia teaching methodology(utachimba kadri utakavyoweza)
Jikumbushe mambo ya ethics ya kitaaluma kwa mtumishi.
Ukiwa unajikumbusha hayo yote, jikumbushe pia mambo ya Chemia kwa ujumla uliyojifunza.
Wengine wenye uzoefu watakusidia zaidi.
Hongera sana kwa kuitwa, unaenda kupata uzoefu wa mambo yanavyoenda
Mkuu mbona mi siyaoni can I get them please ? au ndo ushamba wangu tu.Yapo kweny Website ya UTUMISHI mkuu yametoka leo.
Kweli we Mshamba tena unatia aibuMkuu mbona mi siyaoni can I get them please ? au ndo ushamba wangu tu.
Yeah that's true boss, Hivi ukiingia kwenye website Ya ajira portal majina unayaonea sehemu Ipi ? Nitoe ushamba ndugu yangu🙏Kweli we Mshamba tena unatia aibu
Sifahamu bossYeah that's true boss, Hivi ukiingia kwenye website Ya ajira portal majina unayaonea sehemu Ipi ? Nitoe ushamba ndugu yangu🙏
OkaySifahamu boss
Andika anwani inayooneka hapo halafu ikifunguka bonyeza kwenye News update, utaona matangazo ya kazi, usahili na placementsYeah that's true boss, Hivi ukiingia kwenye website Ya ajira portal majina unayaonea sehemu Ipi ? Nitoe ushamba ndugu yangu
Wakuu wa Idara au walimu kwenye Idara lazima wawaguide wanafunzi waliosoma hapo na wenye sifa wanapewa ila inahitaji kupambana sana kama haujulikani(hujasoma hicho chuo)Hivi kazi zote walizotangaza.kozi hizo si wanafunzi wapo waliozisoma palepale OUT? Kama ni hivyo na wao ni waamuzi wa mwisho,sijui kama nje ya OUT watapata.
Asante sana🙏Andika anwani inayooneka hapo halafu ikifunguka bonyeza kwenye News update, utaona matangazo ya kazi, usahili na placementsView attachment 2320994
Hapana Mkuu kuna Coz hawatoi hapo OUT.Hivi kazi zote walizotangaza.kozi hizo si wanafunzi wapo waliozisoma palepale OUT? Kama ni hivyo na wao ni waamuzi wa mwisho,sijui kama nje ya OUT watapata.
Kwa hiyo ndio zimeanzishwa sasa?Hapana Mkuu kuna Coz hawatoi hapo OUT.
kmaa Bachelor of Science in Physics, Bsc Chemistry, Bsc Nutrition na Bsc Botany