Nataka msaada kwa waliwahi piga paper za TUTORIAL ASSISTANT wanipe format ikojee na wanalenga niniUtumishi washaanza kuita watu Sasa.. jiandae vizuri vijana.. pdf za Usaili zishaanza kumiminika
Hakuna maswali maalum. Unatakiwa kuwa na uelewa mpana ktk eneo lako hivyo kwa siku nne si rahisi kusoma vyote.Nataka msaada kwa waliwahi piga paper za TUTORIAL ASSISTANT wanipe format ikojee na wanalenga nini
maana kwa siku 4 siwez kutoboa nisome Course zote za semister 6.
Umechaguliwa kada gani?Habarini wana jamiii forum, nipo kuomba tena msaada. Nimekuwa shortlisted kwenye kada ya TUTORIAL ASSISTANT chuo cha Open University.
nilitaka kutambua maswali gani huwa yanaulizwa kweny hii Position kiujumla.
Nina siku 4 tu za maandalizi sielewiii nianze kushika lipi.
Natanguliza shukrani wakubwa.
Mkuu kwa Kada yangu Siwezi tobooa maana nina Course kama 36 kwa semister zote 6.Hakuna maswali maalum. Unatakiwa kuwa na uelewa mpana ktk eneo lako hivyo kwa siku nne si rahisi kusoma vyote.
Sina uzoefu wa usahili wa maandishi ila nakushauri upitie job descriptions na uweze kujikumbusha mambo muhimu unayohisi yanakutatiza.Mkuu kwa Kada yangu Siwezi tobooa maana nina Course kama 36 kwa semister zote 6.
na kingine nipo kitaa mda mrefu.
labda kama mtu anajuua mfumo yao ya utoaji hapo sawa.
Wewe soma vitu unovyoona muhimu na kwa uwezo wako.. Nadhani hata huko shule ulikuwa unaingia kwenye UE kupiga pepa na sio kwamba ulikuwa unajua Kila kitu kwenye course but still ulikuwa unafauluNataka msaada kwa waliwahi piga paper za TUTORIAL ASSISTANT wanipe format ikojee na wanalenga nini
maana kwa siku 4 siwez kutoboa nisome Course zote za semister 6.
Duuuh watu mna Raha kweli kozi 36 ndani ya miaka mitatu basi tulia mkuu relax utatoboa tu.Mkuu kwa Kada yangu Siwezi tobooa maana nina Course kama 36 kwa semister zote 6.
na kingine nipo kitaa mda mrefu.
labda kama mtu anajuua mfumo yao ya utoaji hapo sawa.
Ahsante. Ni hivi. Kuna aina mbili za written interview.Chemistry hapo Mkuu.
Ila mkuu mbona naona kama usaili watafanya wenyewe chuo na si utumishi.ni hofu yangu wasije kubebana maana tusije choma nauli tuu.Yapo kweny Website ya UTUMISHI mkuu yametoka leo.
Mkuu wewe jaribu tu maana hamna namnaa, kama ipo ipo tu. kikubwa tupambaneIla mkuu mbona naona kama usaili watafanya wenyewe chuo na si utumishi.ni hofu yangu wasije kubebana maana tusije choma nauli tuu.
Mkuu hili paper ume Experience kutoka Chuo gani??Siku hizi Interview Zime rudishwa vyuoni. Utumishi wana simamia tu na kukagua vyeti. Na Oral pia ni utumishi na wawakilishi wa vyuo.
Ila Written, siyo kama zile paper za Utumishi. Utakutana na Bonge la Paper Refuuuu na miswali migumu. Ukute Mwl wa hicho chuo wa hilo somo ana mtu wake au watu wao. Mna chinjiwa Baharini.
Kabisa aisee,yani hamna kitu hapo.ni kubebana tu.waalimu wa pale chuo kikuu huria watabebana sana kwa wanafunzi waoSiku hizi Interview Zime rudishwa vyuoni. Utumishi wana simamia tu na kukagua vyeti. Na Oral pia ni utumishi na wawakilishi wa vyuo.
Ila Written, siyo kama zile paper za Utumishi. Utakutana na Bonge la Paper Refuuuu na miswali migumu. Ukute Mwl wa hicho chuo wa hilo somo ana mtu wake au watu wao. Mna chinjiwa Baharini.
Nimekuelewa.shukrani.Mkuu wewe jaribu tu maana hamna namnaa, kama ipo ipo tu. kikubwa tupambane
By the way Utumishi wapo pia Dar es salaam hapa.
So Probably wawakilishi lazima wawepo.
maana nilishawahi fanya Usahili UDSM, Wawakilishi wa UTUMISHI walikuwepo tena wa3 kweny venue siku ya Written INTERVIEW na cku ya Oral kwny Panel alikuwepo mmoja.
So kikubwa wewe choma Nauli ujaribu bahati yakoo na u gain Experience.