Maswali ya usahili TRA

Maswali ya usahili TRA

Mwanambugulu

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2017
Posts
683
Reaction score
856
Habari zenu wakuu kama kichwa kinavyojieleza hapo kwa wenye uzoefu na interview za tra vipi maswali yanaweza kua kwa upande gani hasa kwa nafasi ya custom officer II pamoja na Tax officer II

Naomba kwa wenye ujuzi na uelewa zaidi tusaidiane wakuu
Naomba kuwasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini Usimpe haya

1. Define the term Smuggling as Used in Tanzanian's Tax Law.

2. Powers Given to prevention of Smuggling Officer

3. Differentiate between Districted and Prohibited goods

4. Mention 5 Restricted items under the EACMA
List 5 prohibited items under the EACMA
Haaaaa hii kiboko
 
Habar zenu wadau.
Jamaa wameshatoa majina ya watakaofanya Usail.
Wamenifurahisha SANA walivyotoa Majina katika mfumo wa kikanda.
Hali hii inapunguza gharama ya nauli kwa interviweee.

Hapa nyumbani kuna mdogo wangu ameapply nafasi ya Tax Officer 11

Duh! Mdogo wangu ameniuliza maswali mengi sana hivyo nikaona niwashirikishe wenzangu muweze kunisaidia maana najua humu kuna watu kutoka taaluma mbalimbali hivyo wanaweza wakatoa mchango/ushauri wao kuhusu hili.

Hivyo naomba mnisaidie.
Ivi ni maswali gani hasa HUENDA akakutana nayo siku ya usaili kwa post ya "TAX OFFICER"

Mmh! Watafeli sana interview kama maswali yatakuwa hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Secretariat wakisimamia kama mwaka juzi walivyosimamia (NBAA) yani inabidi watu warudi wasome kodi upya

Tax Avoidance and Evasion, ways za kuprevent na how to plan tax,
Presumption tax and threshold.
Vat return (Input tax calculation and Output tax)
Dead line za kusubmiti Vat, PAYE, SDL and Corporate.

Types of Tax Assessment zote uziju
Self Assessment
Jeopard Assessment etc

TRA Function, vission and Mission

Usiombe wakauliza penalties ana interst or WHT

Residence and Non-residance section 6 ITA 2004 as Amended 2017.

Ukimaliza yote njoo usome All update za this year 2017/2018
 
kwa kweli hapo hali tete, inabidi kujipanga sana na kumpata mtu wa kukupigisha msasa, maana kama mtu ulimaliza kitambo ni ngumu kuwa updated kwa kweli
 
Habar zenu wadau.
Jamaa wameshatoa majina ya watakaofanya Usail.
Wamenifurahisha SANA walivyotoa Majina katika mfumo wa kikanda.
Hali hii inapunguza gharama ya nauli kwa interviweee.

Hapa nyumbani kuna mdogo wangu ameapply nafasi ya Tax Officer 11

Duh! Mdogo wangu ameniuliza maswali mengi sana hivyo nikaona niwashirikishe wenzangu muweze kunisaidia maana najua humu kuna watu kutoka taaluma mbalimbali hivyo wanaweza wakatoa mchango/ushauri wao kuhusu hili.

Hivyo naomba mnisaidie.
Ivi ni maswali gani hasa HUENDA akakutana nayo siku ya usaili kwa post ya "TAX OFFICER"

Sent using Jamii Forums mobile app
acha kuzunguka niwewe sio mdogo wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnashauriwa kuomba kazi kwenye professional zenu. Uwezi kuangaika kuuliza maswali utakayo kutanana nayo.
mpaka utumishi wakakuita means umesomea ulicho kiomba, ila msaada kuomba sio vibaya watu wako kitaaa mwaka wa tano huu hizo desa anazikumbuka vip, yuko sahihi kuomba msaada
 
Revenue officers mna-deal sana na non-tax revenues. So usisahau kusoma issues za property tax, sign & billbord levy, bed night levy etc
ndugu tax expert, inaonekana unafahamu sana mambo ya tax? kama ni ndio, nshauri plz, ikiwezekana npgishe msasa, m npo dar
 
ndugu tax expert, inaonekana unafahamu sana mambo ya tax? kama ni ndio, nshauri plz, ikiwezekana npgishe msasa, m npo dar
Cko dsm kw sasa. But ushauri wangu kwa hyo post, usisahau kupitia issue ya property tax kwani ndo current issue kwa ss TRA. Pitia sheria inayo-govern collection yake (The Urban Authorities Rating Act, pamoja na mabadiliko yake yote). Issues za Sign bord levy ss hv ndo zmeamishwa toka halmshauri kuja TRA. So nazo jaribu kupitia summary yake like rates zake zkoje, due date, who are exempted etc
Thanks
 
Back
Top Bottom