Leo ni Alhamis kanuni za bunge zimeweka utaratibu kwamba kutakuwa na maswali ya papo kwa papo kwa Mh.Waziri Mkuu muda usiozidi dakika 30.Hii ni wiki ya pili sasa wananchi tunasubiri Mhe.Spika anatoa taarifa kwamba Waziri Mkuu hayupo na anamajukumu mengine ya nchi!!.Wiki 2 mfulilizo?
Kuna nini hapo bungeni? Huko siyo kuvunja kanuni za bunge.?Nashauri mtengue hiyo kanuni isiwepo ili Mh.atimize majukumu mengine kuliko kuwapa matumaini wananchi kusogea kwenye TV na redio na kipindi kutokuwepo huo ni usumbufu kwetu wananchi.
Naomba kuwasilisha.